Cyber sex to become a normal life in future

Cyber sex to become a normal life in future

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
Mapenzi ya mitandaoni mpaka sasa hayajakubalika na jamii.

Hata mimi si muumini wa cyber sex.

Lakini kuna kila dalili kuwa muda si mrefu mapenzi haya yatokanayo na mitandao yataonekana ni ya kawaida miongoni mwa kundi fulani hasa la watumiaji wa mitandao.

Watu watatumia zaidi mitandao kujipatia wake,waume,wasichana na wavulana huku wakiwaamini kama wanavyoweza kuwapata mitaani.

NB:MABADILIKO YOYOTE HUPINGWA NA JAMII ILA JAMII MPYA HUCHUKUA JUKUMU LA KUYAKUBALI MABADILIKO HAYO.
 
cyber sex.... yani tunakunjana kimtandao au mi sijaelewa hapo!!!
 
Ndo hivyo , watu wanafanya sex imaginary kupitia mitandao na mwisho inapelekea kuanzisha real life sex
cyber sex.... yani tunakunjana kimtandao au mi sijaelewa hapo!!!
 
sahihi kabisa, love connect itakuwa more valuable. Wanaobeza wanaotafuta wapenzi mitandaoni nao wataaza kufanya yaleyale
 
Back
Top Bottom