albertt
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 339
- 78
Ilikuwa cku ya ijumaa 2livu
nilipokuwa nimejipumzixha
getto ndipo nilipockia
hodi..hodi..... .kabla cjaitikia
nikackia karibuu kumbe
ilipigwa kwa mama
mwenye nyumba wangu na
kutokana na ukaribu wa
milango ye2 nikajua
imepigwa kwangu.....ckut
aka kujua ni nan
nikaendelea kucheke movie
nzuri niipendayo "Who im
i"by jack chain... Nikiwa
nimeconcentrate mara
mlango wa getto
ulifunguliwa kutahamak
kumbe ni Mariam mtoto wa
mama mwenye nyumb
we2...heee mariam mbn
hupigi hodi nduguu?
hukuniki shangaaaa...!!A
aaaaaah ticha nawee humu
kwangu nilitaka nifumanie
anayeniibia mali yangu...?
mmmh mariamu mal gan
tena jaman iyooo.?si
wewee mylovel tichaa
mwenzio cpendi kuibiwaaa
nataka niwe pekee yangu
kwako.!mmmh mtoto kwa
utani weweee unataka
mama yako anifunge ninii
mamu?thubutuu mama
mwenyewe anajuaa
navyokupendaaa jay...tena
anapenda uwee mkwee
wake hahahahahahahah
aha!!naweee kwa utani
hujambo.... Tichaa me ctaniii
leo naxema
kweli..mazungum zo yangu
na mamu yaliendeleaa hadi
nilipockia sauti ikiitaa
ticha..tichaaa. ..tichaaaaa
ilikuwa ni sauti ya mama
mweny nyumbaa wangu na
miye bila uwoga
nikaitikiaaa na kutoka njee
mara njoo umuone dada
yake mamuu
mwanangu.....oo ooh kweli
wamefanana karibu
xana ...Asantee tichaaa oooh
sorry nimeckia mama
kakuita ivyo ndiyo maan na
miye nimekuita ivyoo!aah
wala ucjari dadaa me
naitwa jose au jay ticha ni
kutokana na kazi yangu ya
ualimu ndiyoo maan watu
hupenda kuniita ivyoo!
sawaaaa kumbe we
mwalimuu?ndiyo mbona
unashangaaa jaman?mama
ticha jay atanisaidiaga
kumbee?tichaa mwangu
huyu anaitwa shamimu
anasoma chuo kikuu
Dodoma masomo ya ualimu
natumaini mtasaidiana
mambo machache
machache amekuja field
katika shule ya mazoezi
sekondari...ham na tatizo
mamaa..oooh karibu sanaa
mwalimu shamimu oooh
dada shamimu noo call me
vyovyote ticha jay.. Oooh
xawaa madam me nipo
ndani na dadaa mariamu
2nacheki movie kidogo
karibu sanaa!asanteee wala
ucjali nitakujaa sanaa hadi
utanichoka jay.....mmmh
dada anamajibu tata uyu
hadi nimchoke tenaa?duuu
ayaa mawazoo
nayooo..mama asantee
kwakunitambulis ha dada
wa mariamu...ucjal
mwangu...nikato kaa hapo
na kuingia ndani kwangu
ile naingia tu ndani na
kurudisha mlango maraa
mariamu akanikumbatiaaa
a huku akinivutiaa kwenye
sofa la mmle chumbani.......
........>>>>>>>
>>>>>>>>>>>>>2b e
continue kama mtapenda...!
nilipokuwa nimejipumzixha
getto ndipo nilipockia
hodi..hodi..... .kabla cjaitikia
nikackia karibuu kumbe
ilipigwa kwa mama
mwenye nyumba wangu na
kutokana na ukaribu wa
milango ye2 nikajua
imepigwa kwangu.....ckut
aka kujua ni nan
nikaendelea kucheke movie
nzuri niipendayo "Who im
i"by jack chain... Nikiwa
nimeconcentrate mara
mlango wa getto
ulifunguliwa kutahamak
kumbe ni Mariam mtoto wa
mama mwenye nyumb
we2...heee mariam mbn
hupigi hodi nduguu?
hukuniki shangaaaa...!!A
aaaaaah ticha nawee humu
kwangu nilitaka nifumanie
anayeniibia mali yangu...?
mmmh mariamu mal gan
tena jaman iyooo.?si
wewee mylovel tichaa
mwenzio cpendi kuibiwaaa
nataka niwe pekee yangu
kwako.!mmmh mtoto kwa
utani weweee unataka
mama yako anifunge ninii
mamu?thubutuu mama
mwenyewe anajuaa
navyokupendaaa jay...tena
anapenda uwee mkwee
wake hahahahahahahah
aha!!naweee kwa utani
hujambo.... Tichaa me ctaniii
leo naxema
kweli..mazungum zo yangu
na mamu yaliendeleaa hadi
nilipockia sauti ikiitaa
ticha..tichaaa. ..tichaaaaa
ilikuwa ni sauti ya mama
mweny nyumbaa wangu na
miye bila uwoga
nikaitikiaaa na kutoka njee
mara njoo umuone dada
yake mamuu
mwanangu.....oo ooh kweli
wamefanana karibu
xana ...Asantee tichaaa oooh
sorry nimeckia mama
kakuita ivyo ndiyo maan na
miye nimekuita ivyoo!aah
wala ucjari dadaa me
naitwa jose au jay ticha ni
kutokana na kazi yangu ya
ualimu ndiyoo maan watu
hupenda kuniita ivyoo!
sawaaaa kumbe we
mwalimuu?ndiyo mbona
unashangaaa jaman?mama
ticha jay atanisaidiaga
kumbee?tichaa mwangu
huyu anaitwa shamimu
anasoma chuo kikuu
Dodoma masomo ya ualimu
natumaini mtasaidiana
mambo machache
machache amekuja field
katika shule ya mazoezi
sekondari...ham na tatizo
mamaa..oooh karibu sanaa
mwalimu shamimu oooh
dada shamimu noo call me
vyovyote ticha jay.. Oooh
xawaa madam me nipo
ndani na dadaa mariamu
2nacheki movie kidogo
karibu sanaa!asanteee wala
ucjali nitakujaa sanaa hadi
utanichoka jay.....mmmh
dada anamajibu tata uyu
hadi nimchoke tenaa?duuu
ayaa mawazoo
nayooo..mama asantee
kwakunitambulis ha dada
wa mariamu...ucjal
mwangu...nikato kaa hapo
na kuingia ndani kwangu
ile naingia tu ndani na
kurudisha mlango maraa
mariamu akanikumbatiaaa
a huku akinivutiaa kwenye
sofa la mmle chumbani.......
........>>>>>>>
>>>>>>>>>>>>>2b e
continue kama mtapenda...!