Jamani nisaidieni mana ndoa yangu ipo mbioni kuvunjika. Kila siku mume wangu akitoka kazini anakuja na bia tatu. Mbili anakunywa yeye moja ananforce ninywe mimi.
Nkilewa usiku wote anani do. Mi nachukia sana mana simwelewi anania gani na mimi.
Naomba ushauri mana ananilazmisha mpaka naingia line.