Habari wanajamvi!
Kuna tabia ambayo ni ya kiunyanyasaji na kukwepa majukumu na si nzuri hata kidogo, ni vema kubadilika mapema kama upo kwenye kundi hilo,hii inawahusu sana wakiumeni wenzangu so...
Jaman habari zenu Wana JF,
Naitwa France jina halisi mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu ni miaka 26 ni mrefu wastani na ni mwembamba wastan rangi Yangu ni majikunde naishi Dar maeneo ya...
Moja ya sheria muhimu ya nchi ni PAYE (Pay As You Earn).
Naona nchi yetu inapoteza pesa ambazo zingetumika kununua madawati na kulipa mishahara kwa walimu.
Kuingiza pesa bila kulipa kodi...
Habari za w.end wanaJAMII wenzangu?
Poleni kwa kusubiri!
Mzigo wetu huu hapa:
Nilihisi kuwa nimeipa akili kazi ya ziada leo. Akili inafanya kazi tofauti na uwezo wake. Chakula kimekuwa...
Mimi ni mgeni sana katika haya maswala ya Mapenzi yaani malavidavi. So nimeona sio vibaya nikija kuuliza hapa swali linalo nitatiza kwakuwa maswali mengi yanapata majibu ya uhakika hapa.
Naomba...
Lara 1, I salute you kwa sababu unasimamia unachokiamini (thats fine) lakini imani yako haina dhara lolote kwenye FACTS, you want marriage to be nchi ya asali na maziwa kitu ambacho hakitatokea...
Mimi ni mfuatiliaji sana wa forum hii ya mahusiano na mapenzi,urafiki katika kipande hiki nilitaka niwahabarishe wenzangu ambao mna marafiki,wapenzi au hata wachumba ambao mna ndoto za kuja...
Marriage (also called matrimony or wedlock) is a socially or ritually recognized union or legal contract between spouses that establishes rights and obligations between them, between them and...
Nyakati hizi wapenzi wamekuwa wepesi mno kuutambulisha uhusiano wao kwenye jamii. Utakuta msichana/mvulana wamefahamiana wiki moja iliyopita, cha ajabu atawaambia watu wote: "Mimi mchumba wangu ni...
Habarini!?
Nimesikitishwa na tukio nililoliona wiki hii kwenye pitapita zangu ni binti Wa darasa la 4 amekataa shule akitaka aendelee na maisha ya kujiuza!
Ni binti ambae kwa mahesabu ya...
Jana lara 1 alianzisha mada inayosema, wanawake above 30 hata 40 marriage is a hypocritical institution. Kilichonishitua ni kuita ndoa ni hypocritical institution tafsiri isiyo rasmi ni taasisi ya...
Kuumekuwa na kupazwa sauti kwa kina mama/wanawake wakitaka haki sawa 50 kwa 50 na kupinga kile kinachoitwa mfumo dume huku mfumo jike ukihimarishwa kwa kasi kubwa.
mimi katika uelewa wangu...
Kuna wakati tunapeana za uso wa mbuzi, kila mtu kamchunia mwenzake mpaka baadaye ndiyo tunayamaliza kwa amani na maisha yanaendelee kama kawaida.
Tunatakiwa kujua kwamba lengo la ndoa siyo...
Imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa kihaya kama mpenzi kisha mume hususani wadada wa kichaga na kinyakyusa.
Pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni...
Za mida wajumbe?
Kuna friend of mine hapa ananipa mchapo akitaka kujua afanye nini.
Ana binti aliyenaye katika mahusiano kwa miaka kadhaa sasa. Kijana anasoma ila ana gratuate this year. Binti...
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mnyaturu, maji ya kunde, nimehitimu degree in mining engineering. Namtafuta wa ubavu wangu awe mnyaturu,maji kunde, awe angalau mwl grade au diploma, umri...
Hili suala najiuliza sana hivi inakuaje?au ni justification ya ule usemi ,"Raha ya mwanaume muwe watano"?
Kwa My experience rafiki zangu wengi sana ambao wameoa inakua rahisi sana kuopoa...
Kuna hii documentary mpya inatarajiwa kurushwa na BBC radio ya kiingereza huhusiana na Nchi moja ya kiarabu ambayo kuna utamaduni wa kuoleana dada. Yani rationale ni kudumisha ndoa.
Iwapo...
hii imefanywa na shirika la utangazaji la DW tv wakiangazia waathirika wengi wa kiume na wanawake kwa kuwauliza wanahisi mapenzi ya kawaida ndo yamesababish aslimia 94 ya wanaume walisema ni ngumu...