Endapo umepewa zawadi au kitu chochote ambacho hukipendi, unafanya nini ili aliyekupa zawadi asigundue hukipendi?
Mfano umepewa shati jekundu na wewe sio rangi unayoipenda.
Naombeni mawazo yenu.
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee
mfano
1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu
yeye hujibu asante au thanks...
Kwa kweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.
1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa...
Ni kwa sababu rafiki zako wameoa,wameolewa na wewe unajifikiria kukosa amani na kupoteza kujiamini?
Au unapata pressure kutoka kwa wazazi wako au unaitaji kuitwa Mr au Mrs ili kupata kuheshimia...
Habari zenu wanajamii forum.Hope wazima kabisa
kuna hizi tabia hasa kwa wapenzi walio kwa mahusiano hasa hawa watoto kike japo hata wa kiume huwa wanafanya
1.Kuwa bize na simu watoto wa kie...
Nimerudi toka shule nilikokuwa nafanya PhD yangu. Nimeamua kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu. Napenda awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 35. Kabila lolote. Rangi yoyote. Dini mkristo na...
Mara zote wanaume tunahitaji wanawake wenye uzoefu na masuala ya mapenzi. Wanaume huwa hawataki hata kidogo kuonekana wanakuwa walimu katika masuala ya mapenzi.
Wanapenda wanawake wabunifu...
Umekuwa nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka saba.Kakupa mimba kumi akakushawishi ukazi abort zote. Ukimgusia suala la kukuoa anaruka hatua kumi nyuma. Shida zako...
Najua wengi wenu amjui jinsi ya kumpata mpenzi mpaka mgaramike. Wengi wenu nyinyi kwa mara ya kwanza umekutana na mdada kitu cha kwanza unajionyesha kwa jinsi gani unao uwezo wa kifedha...
Heshima yenu wanabodi!!
Hebu tujaribu kuangalia hili suala la milio ya simu na mwenye simu, je unaweza kupata sifa fulani fulani za mwenye simu?
Utakuta mwingine ameweka tarabu tena kwa sauti...
Habari zenu ndugu zangu,
Mapenzi huchukua sehemu kubwa ya maisha yetu kwa maana kwamba kila mmoja wetu hutokea kumpenda mtu na akahitaji kuwa nae kwa maisha yake yote. Si mara zote mambo huenda...
Ana miaka 30 kwa sasa, ni kijana mtanashati na mwenye bidii ya kazi. Nilikuwa na ahadi ya kukutana nae kwa shughuli fulani, mkoa mmojawapo hapa nchini. Wakati tunajadiliana nae kuhusu yale...
Juzi nimekamatia mtoto kutoka somewhere, ni beki tatu anavutia ile mbaya sasa mtoto nimempa vitu kakolea hadi kajisahau kurudi nyumbani.
Sasa bosi wake anamtafuta, eti anaogopa kurudi nyumbani...
Kujinyonga au kunywa sumu kujiondolea uhai kwa wivu wa mapenzi ni ulimbukeni na upumbavu uliopitiliza na sio solution ya matatizo katika suala la mapenzi.
Mtu anajinyonga tu eti kwa sababu...
My husband is my best friend. We play together, dance together, fishing, swimming, watching porn together.
His body is my playing ground trust me it's health and no doubt au kuhisihisi or...
Katika mapenzi kuna vitu ambavyo unafanya ambavyo siyo vya kawaida..yaani unasukumwa na kitu kinaitwa power of love au power of genye. Ambavyo kama siyo genye usingeweza kufanya. Ukikaa baadae...
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.
Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume...
Walikuwa kwenye uhusiano wa takribani miezi kati ya sita au saba, mpaka kufika hatua hiyo wakawa tayari wanaaminiana.
Sasa jana jamaa alikuwa ana mgegeda huyo demu kumbe ndio alikuwa anamgegeda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.