No serious this is too much

No serious this is too much

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Kwa kweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.

1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.

Kuna nini kimetokea?
 
Aisee mnajua kutukanana sana jukwaa hili.
 
Kweli ndugu yangu siku hizi usije ukamtongoza mwanamke ukasema umemtania lololo unatafuta matatizo kwani atakupigia simu huyo
Wamekuwa kama noti za jero, itabidi maprofu waliootatua tatizo la jero zinazochakaa kwa ku-propose zitengenezwe coin za 500 na elfu na miatano, basi waje pia watoe ushauri sijui watoa hizi beyond repair zetu halafu tuletewe vuimbe gani, sijui!

Ila mi nayapenda tu, they are better than nothing!
 
Imekaa safi sana hii. Dah nimejiunga jf kama wiki. Nilikuwa namiss mambo ya ukweli sana. Mi nawajua wadada fulani 3 tena kwa kabila ni wanyakyusa, wote wanafyekwa na marafikizao wa kiume karibu 12 kwa nyakati tofauti. Ili janga.
 
Kwakweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.

1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.

Kuna nini kimetokea???????

Rekebisha kwenye penzi. Wanagawa K zao sio penzi.
 
Imekaa safi sana hii. Dah nimejiunga jf kama wiki. Nilikuwa namiss mambo ya ukweli sana. Mi nawajua wadada fulani 3 tena kwa kabila ni wanyakyusa, wote wanafyekwa na marafikizao wa kiume karibu 12 kwa nyakati tofauti. Ili janga.

unatafuta ugomvi name kina mwa
 
Kweli ndugu yangu siku hizi usije ukamtongoza mwanamke ukasema umemtania lololo unatafuta matatizo kwani atakupigia simu huyo

sijui ni tamaa au nini maana zamani walikuwa wanapenda ili wapate vihela. Siku hizi hata wasio na hata jero ya kuwapa wanawapata. Sijui wamegundua nini kwenye hili dudu hawa
 
Last edited by a moderator:
Imekaa safi sana hii. Dah nimejiunga jf kama wiki. Nilikuwa namiss mambo ya ukweli sana. Mi nawajua wadada fulani 3 tena kwa kabila ni wanyakyusa, wote wanafyekwa na marafikizao wa kiume karibu 12 kwa nyakati tofauti. Ili janga.

Mtu kugawa kitu chake hakina cha unyakyusa wala usandawe.....
 
Kwakweli hali sasa hivi ni mbaya si mjini wala vijijini.

1. Hawa mabinti wa kati ya miaka 19-30 hawanyimi mtu yoyote penzi hata muwe group marafiki wangapi mkitaka kila mmoja atapewa penzi kwa wakati wake. Naomba sana madada msije mka generalize majibu ya hii mada ni ukweli kwamba kuna tatizo na hili ni janga tunatakiwa tuangalie tuwasaidiaje wadogo zetu au watoto wetu. Na kumbuka hapa siongelei machangu doa wanaojiuza bali ni mabinti either wanaosoma hata wanaofanya kazi.

Kuna nini kimetokea???????

Kwa pauchi yako embu waache wenzakoo
 
Back
Top Bottom