Mahaba niue....

Mahaba niue....

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,229
Reaction score
5,525
Katika mapenzi kuna vitu ambavyo unafanya ambavyo siyo vya kawaida..yaani unasukumwa na kitu kinaitwa power of love au power of genye. Ambavyo kama siyo genye usingeweza kufanya. Ukikaa baadae unashangaa hivi ilikuwaje ukafanya hivyo. Hebu post hapa kitu ambacho unafikiri ulikifanya kwa nguvu ya genye ambcho katika hali ya kawaida usingeweza kufanya.

mimi kiyu ninachokumbuka ni hiki.
Wakati nasoma mlimani nilikuwa na dame amemaliza kidato cha sita yuko nyumbani. Wakati huo mobile fones zilikuwepo za tritel ambazo zilikuwa kwa ajili ya elites. Very expensive. Hivyo mimi na dame wangu hatukuwa na simu. Akija mlimani tunapanga siku nyingine ya kuonana. Asipokuja siku hiyo ndo mmeshapotezana lazima mtafutane manually. Ikatokea tumepotezana kwa staili hiyo. Mwanaume sina kitu nina ukame wa mwezi. Huku nikiwa na mia 5 tu mfukoni. Enzi hizo daladala ni 100, Soda 350. Nikaondoka kwa mguu hadi nyumbani kwao huyo demu. Kutoka chuo hadi mburahati kwa mguu. Bahati nzuri nikamkuta.

Alikuwa free that day yuko peke yake home, hana kazi sana lakini akasema hawezi kwenda mlimani labda kama tungeenda guest ya karibu. Shorttime kwa guest ya chini ilikuwa 1500 mimi nina 500 tu. Nikaenda kumsomesha muhudumu wa guest kuwa nimesahau wallet chuo na ninahitaji chumba. Hivyo nikamuomba niache kitambulisho changu cha chuo kama dhamana na kesho yake ningemletea hela yake.
bahati nzuri nikamsomesha hadi akaingia kingi. Nikaacha kitambulisho cha chuo, tukaingia geto kufanya yetu. Nikamnunulia soda moja she wangu huku mimi nikisingizia sijisikii kunywa chochote. Mision ikawa completed succesiful. N nikarudi zangu chuo kwa mguu na 150 mfukoni na deni la 1500. Ilichukua wiki mbili kwena kukomboa kitambulisho changu. This is poer of genye. Kila nikikumba huwa na imagine ni ujasiri gani ambao nilitumia kufanya hivi. Hebu tupe mahaba niue yako. It is just a flush back
 
Bila Id ungetolewa Nkruma fosi fosi mpaka guest ukachukue Id!
 
Na una bahati hakukuwa na test genye zako hadi kuacha id guest dah mi siwezi kiukweli
 
Hahahahaha kweli ulikua na ukame hadi ukaweka ID yako bondi!
 
Daaah am speechless nina majanga mengi sana ya Genye naweza act movie nyingi zaidi ya mikasa ya Jack Bauer wa 24

Kuna siku nishawahi ku infiltrate toilet nikafanya tukio na huyu mtu alikua demu wa mtu aliaga ameenda kuoga!!ngoja niishie hapa tu !!
 
Hahahaa...kweli,power of genye..ila kipindi hiki kilikuwa na raha yake na chungu yake pia.
 
Daaah am speechless nina majanga mengi sana ya Genye naweza act movie nyingi zaidi ya mikasa ya Jack Bauer wa 24

Kuna siku nishawahi ku infiltrate toilet nikafanya tukio na huyu mtu alikua demu wa mtu aliaga ameenda kuoga!!ngoja niishie hapa tu !!

Waitn'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom