Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jaman mm mvulana miaka 24 mwaka wa pili chuo kikuu natafuta mchumba miaka kati ya 19 hadi 23 elimu kuanzia kidato cha NNE kwenda juu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooo! Zee moja linaloendesha moja ya mijombo inayopaa angani kama ndege, zee kijana, zee maproso, zee somi, lilisharusha mijombo hio mataifa makubwaaa...
14 Reactions
82 Replies
9K Views
Hivi huwa unajisikiaje: 1. Upo Supermarket na demu wako mnataka kununua vitu halafu unakuta vitu vyote bei zake huziwezi then unakuta kuna jamaa yupo pembeni na demu wake wanajaza tu vitu kwenye...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama kawaida hunter nimeibua mke wa mtu, anavutia huyo, nimemuweka kwe sita kwa sita nikampeleka mwenyewe kakubali shughuli, ki ukweli mtoto wa kike kanikoleza ila tu ana ki mimba kama cha miez...
1 Reactions
124 Replies
13K Views
When a woman no longer gets frustrated and upset with you,you can almost guarantee that she does'nt care anymore..!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu mnaweza kushangaa ama kuhisi nimepungukiwa na akili kama nikiwasimulia kisa hiki kilichomkuta rafiki yangu wa karibu. Yeye ametokea kupendana na msichana baada ya kuchat nae kwenye...
0 Reactions
37 Replies
166K Views
ni jimama gan yko free mwenye mkwanja niwe namchangamsha damu na yye anijenge mifuko..? kma yupo ajitokeze chap
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Mambo. Nawaheshimu sana wale walio kwenye ndoa na mnaishi vizuri. Jambo la kuoa ni gumu sana hasa hasa kwetu mabachela. Mpaka ukaamue kumuoa mdada lazima umefikiria kwa mapana marefu na kina...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nashukuru baada ya kuweka tangazo kwa mara ya mwisho wamejitokeza wengi. Na nimefanikiwa kumpata mtu wa interest yangu mpaka sasa tunafanya mawasiliano kwa mara nyingine nitaonekana hapa jukwaani...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
jaman wana jf mm ni kijana wa miaka 24 n mwanafunz wa chuo flan mbeya nahitaj sana kuwa na mchumba lkn nimekuwa muoga sana kutongoza nahisi kama ntaonekana nadanganya
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimepata kadada fulani huku kapare.Muislam mimi mkristo.Kaslim body nini,sasa nikamakribisha geto akaja nikaanza kukachezea na vitu vingine vikaendelea.Akarudi kwao. Jioni jana tukawa tunachat na...
0 Reactions
53 Replies
13K Views
HOW TO MAKE A MAN HAPPY: 1. Feed him 2. Sleep with him 3. Leave him with peace 4. Don't check his phone (Msgs) 5. Don't bother him with his movements So what's so hard about that? HOW TO MAKE A...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwanamke Cecilia Hamis, mkazi wa Majoe, Dar amemlalamikia mumewe Hamis Juma kwamba ametembea na mbwa wao hadi kumpa mimba. Asema amemfumania mara 2! " SIMULIZI YENYEWE “Nililigundua hilo wiki...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
How is monile for every body: Leo nmeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya...
12 Reactions
267 Replies
24K Views
Hivi kwa nini watoto wa kike wakisha zaa huwa hawaya thamini matiti yao??? .. Jana hv wakati nipo kwenye gari kuna dada mmoja hv akatoa titi lake akawa anamyonyesha mtoto wake .. Mi nilikaa...
2 Reactions
60 Replies
13K Views
You ladies out there with the delightfully perky boobs what say you? Do you ever skip the bra just because you can? Where and when do you think it's appropriate to do so, and how do you justify...
0 Reactions
99 Replies
14K Views
Wife material leo muda wa chai,alifungua pochi yake akatoa maandazi/vitumbua ambavyo alivitengeneza jana akanywea chai Yule mwenzake akawa anasubiri ofa ya supu kwa mtu ambaye sio mume wake...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Na ndio maana unapewa cheti chake kwanza halafu mitihani yake unaikabili badaye lasivyo ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache wangefaulu kupata cheti.jitahidi kuvumilia kwani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NIMEPEWA TAHADHARI HII,hivyo usimuone anabofya bofya kumbe anachukua picha, mkitibuana anazimwaga mtandaoni, be careful ukimuona ana wasiwasi na simu au laptop imeelekezewa kwako au laptpot iko na...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari zenu wandugu, natumai mko salama. Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom