Mwanamke zinduka usipelekeshwe na mapenzi kiasi hicho

Mwanamke zinduka usipelekeshwe na mapenzi kiasi hicho

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Umekuwa nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka saba.Kakupa mimba kumi akakushawishi ukazi abort zote. Ukimgusia suala la kukuoa anaruka hatua kumi nyuma. Shida zako hakutatulii. Kila simu atakayokupigia ni ya kukuita uende kumpa papuchi. Hayuko free kuongozana nae mitaani. Ukishauriwa uachane nae unadai unampenda kuliko kitu chochote. Mambo mengine hata sisi wanaume haturidhi Ungekuwa dadaangu ningekuchinja..

UNA AKILI ZA KUKUSAIDIA WEWE MWENYEWE?
 
Ana wasiwasi wa kukosa mwanaume waku do kwasababu haoni anaemtokea na yeye anapenda sana ku do kwasababu haka kondom hataki kuzisikia achilia mbali hata kuhesabu kujua siku mbaya ni zipi ingalawa asipate mimba kila wakati.
 
tatizo hawazinduki mkuu..
 
Huo ni utumwa wa mapenzi hakuna kingine hapo.
 
Kweli kabisa mie nna rafik angu yan kila ulichoongea apa ni sahih mku cjui waga tunafngwa kiukweli hii tB
 
Aiseee siwezi kufanya ujinga huo

bila shaka wewe ni under 25, ngoja kwanza jua likusogelee mama halafu wanaume wakose...!

yanawakuta wenzio mamii hasa waliokata tamaa ya kuwekwa inside.
 
Back
Top Bottom