Wanaume tunahitaji wanawake wenye ujuzi wao

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,173
Mara zote wanaume tunahitaji wanawake wenye uzoefu na masuala ya mapenzi. Wanaume huwa hawataki hata kidogo kuonekana wanakuwa walimu katika masuala ya mapenzi.

Wanapenda wanawake wabunifu ,wajuzi na watundu kunako 6X 6. Ndio maana katika dunia ya leo wanaume hawaoni ufahari kutembea na mabikira, wanaume huwa hawapendi usumbufu.

Kwani hata katika kazi kinachoangaliwa ni experience kazini ili uweze kufuzu masaili na sio GPA ya mtu
 
Hata mimi sipendi mabikira kwa kuwa sitaki kung'atwa na kuparuriwa makucha.
 
aliyekudanganya mwenye uzoefu ndo anajua nani???

kuna waliogegedana mara elfu na bado mbulala 6*6
 
hata mimi sipendi mabikra ... kupigana ngumi kitandani ya nini aiii... mwingine akitka kukoooojoa anapiga kelel anaita ukoo mzima ... eti nakufa nakufa unakufaje wakati upo juu ya kifua...... mwingine anakakakamaaa mpaka unaogopa .... wengine wanazimia kabisa
 
bila shaka hawa ni mabikira wa kicha.ga.!!! jaribu kutoka nje ya hilo eneo
 
hata mimi sipendi mabikra ... kupigana ngumi kitandani ya nini aiii... mwingine akitka kukoooojoa anapiga kelel anaita ukoo mzima ... eti nakufa nakufa unakufaje wakati upo juu ya kifua...... mwingine anakakakamaaa mpaka unaogopa .... wengine wanazimia kabisa

Hahahah mbavu zangu mie
 
ukweli tupu ! Kuna Jamaa yangu aliolewa Bikra baada ya Miaka kadhaa ya Ndoa Mumewe akaanza kumtukana "we unanini wewe hata Mapenzi nilikufundisha mimi mwenyewe hakuna hata Mwanaume aliyekutaka nilikukuta Mtu Mzima hujawahi kudo ! nilifanya kukusitiri tu ! so huo ndio ukweli wa wenzetu hawa .........Na kashfa zao za 😛eep:
 
hata mimi sipendi mabikra ... kupigana ngumi kitandani ya nini aiii... mwingine akitka kukoooojoa anapiga kelel anaita ukoo mzima ... eti nakufa nakufa unakufaje wakati upo juu ya kifua...... mwingine anakakakamaaa mpaka unaogopa .... wengine wanazimia kabisa

Mkuu, miss chagga..kuna ujumbe niliuoba asubuhi, uliupata??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom