Hii kitu inanikera jamani

Hii kitu inanikera jamani

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari zenu wanajamii forum.Hope wazima kabisa
kuna hizi tabia hasa kwa wapenzi walio kwa mahusiano hasa hawa watoto kike japo hata wa kiume huwa wanafanya
1.Kuwa bize na simu watoto wa kie wanaongoza hasa na hizi TOUCH SCREEN kuanzia zimeingia yaani wako bize yuu bize na simu utadhani amezaliwa nayo.
2.Kuchanganya kiswahili na kiingereza jamani huu mtindio siupendi yaani mnaonekana mnaigiza kama mtu umeamua kuongea kiingereza ongea basi hicho hicho tu au kama kiswahili ongea tu kiswahili yaani dadaz wanapenda kuchanganya lugha mbili hasa wasichana wa hapa kilimanjaro ni moja ya mifano yaani kuna mdada mmoja hadi keroooooooooooooooo
3 kubakiza baadhi ya vyakula na vinywaji huu mtindo nao siupenzi utakuta mtu akiwa peke yake chumbani anaweza kunywa kreti zima la soda lakini ukitoka naye anabakiza soda robo tatu,jamani tuache maisha ya kuigiza
Mada hiyo meza ni na nyie ongezeeni mambo ambayo wanawakera kwenye relationship hata maisha ya kawaida .
 
Unataka watumie vitochi?

Ungependelea wachanganye kichaga na kimakonde?

Akibakiza kinywaji ww malizia
 
Anasema ana njaa anataka chips yai,akiletewa anakula kidogo vimayai anasema ameshiba,anakera sana.
 
sasa kama nimeshiba nijilazimishe jamani? mi hata home nakula kidogo sana
 
hapo kwenye simu tusidanganyane kabisa ukiwakuta wakaka wanaoshoboka na sijui mambo ya chating na kuja kwa hizi watsup ndo basi tena,ndo maana vivulana siku hizi havipendi kazi ila kuchat tu fesibuku,twitter akiwa na touch basiii utafikiri atakula hiyo touch yake.
 
mtoto wa kike shurti uwe na madoido unataka mtoto wakike awe sawa nadume mambo yakusafisha sahani tumeyachaaa hukooo miaka hiyoooo soda we maliza me ntabakiza huo ndo usichana,na swala la lugha mtuache even wenye lugha zao wanachanganya na viluga vyao how do you expect me to talk t fluent by z way inaleta mvuto sio msichana unaongea kiswahiliiiiiiiii mwanzo mwisho haivutiiiii
 
Habari zenu wanajamii forum.Hope wazima kabisa
kuna hizi tabia hasa kwa wapenzi walio kwa mahusiano hasa hawa watoto kike japo hata wa kiume huwa wanafanya
1.Kuwa bize na simu watoto wa kie wanaongoza hasa na hizi TOUCH SCREEN kuanzia zimeingia yaani wako bize yuu bize na simu utadhani amezaliwa nayo.
2.Kuchanganya kiswahili na kiingereza jamani huu mtindio siupendi yaani mnaonekana mnaigiza kama mtu umeamua kuongea kiingereza ongea basi hicho hicho tu au kama kiswahili ongea tu kiswahili yaani dadaz wanapenda kuchanganya lugha mbili hasa wasichana wa hapa kilimanjaro ni moja ya mifano yaani kuna mdada mmoja hadi keroooooooooooooooo
3 kubakiza baadhi ya vyakula na vinywaji huu mtindo nao siupenzi utakuta mtu akiwa peke yake chumbani anaweza kunywa kreti zima la soda lakini ukitoka naye anabakiza soda robo tatu,jamani tuache maisha ya kuigiza
Mada hiyo meza ni na nyie ongezeeni mambo ambayo wanawakera kwenye relationship hata maisha ya kawaida .

kiswanglish bongo hakikwepeki hasa kama umefika sekondari kwa shule zetu.....sema labda hyo mdada kazidiiisha kama unavyoweka.......we mwenyewe si unaona hapo kwenye red
 
Kiukweli apo kwenye msosi akibakiza uwa namwambia sogeza apa namalizia ndo tunaondoka
 
nina kiasi changu cha chakul anakula kama nimewekewa kingi aisee nikifikisha limit yangu naacha hata kama sijashiba....... ila hii nilikuja na na suluhuu nikiagiza chakula nasema kabia niwekewe kiasi fualani .... sasa kinakuja kidogo mtu hapo anaona naringa sijui kama kuna namna hapo.... kiswaenglish ni system yetu ya nchi imetuharibu mimi nachanganya na kichina kabisa
 
mtoto wa kike shurti uwe na madoido unataka mtoto wakike awe sawa nadume mambo yakusafisha sahani tumeyachaaa hukooo miaka hiyoooo soda we maliza me ntabakiza huo ndo usichana,na swala la lugha mtuache even wenye lugha zao wanachanganya na viluga vyao how do you expect me to talk t fluent by z way inaleta mvuto sio msichana unaongea kiswahiliiiiiiiii mwanzo mwisho haivutiiiii
MAHIPS BABY mambo ya utandawazi sometimes yanakera kwani kuchanganya ndio kunakufanya uonekane modern???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom