Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bila hiana napenda kuleta mrejesho ila kuthihirisha tabia ya mtume mwema! Ni takribani mwaka sasa baada ya kupitisha mabango yapatayo mawili kutangaza kumsaka mwenzangu nisiye mjua kwa kudhani...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Habari za mda huu wanajamvi. Katika pita zangu mtaani na kusikiliza maoni ya watu mbalimbali kumekuwa na tetezi kuwa wanawake wengi wanaumizwa na kuachwa na wapenzi/wachumba wao kisa...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Niaje wadau wa Jf. Kuna Rafiki yangu ameghafilika hajui afanyeji. Ali funga uchumba na Binti fulani lakini hajaenda kule nyumbani kwa yule mchumba wake wa kike. Kwa ufupi hajaonana na wazazi wake...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Pm me
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ulimwengu wa mapenzi ni waajabu sana.Ni wenye furaha unapopenda ukapendwa lakini pia ni wenye karaha na maumivu pale unapopenda usipopendwa.Moyo hukosa raha,pia unakosa maamuzi yaliyosahihi yote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hlw,for your will PM me......
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rafiki zangu, na wana jamvi wenzangu tujadili juu ya kauli ambazo zina ishara mbaya kwenye uhusiano tena za utapeli mtukufu. Wakati mwingine unaweza kumsikia mpenzi wako akikuambia maneno ya...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo kaingia tena...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
sifa za huyo mume sifa za mume - miaka kuanzia 39 -55 -mfanyabiashara au mfanyakazi -mkristo mcha mungu -anaishi dar -elimu kidato cha...
1 Reactions
72 Replies
9K Views
Mara nyingi 'Empty sms' siyo empty. Unaweza kufikiri kirahisi kabisa kuwa aliyetuma kakosea (though sometimes it happens), ila inapojirudia usipuuze, chukua hatua na chunguza kwa makini. In...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Hi JF members, naomba ushauri kwa wale waliopo kwenye ndoa. Ni hivi nimeolewa na nina mtoto mmoja, lakini nina miezi tisa sijashiriki kimapenzi na mme wangu, sio kwamba sitaki la, ni vile naona...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Hello friends, Kwa kipindi kirefu sana Dr. MCHUNGUZI HURU (Phd) nimefanya uchunguzi wa kina juu ya mahusiano ya kimapenzi baina ya Watanzania (wanawake) na Wakongo (wanaume). Kiufupi hapa...
9 Reactions
180 Replies
45K Views
Unapotokea kumpenda mtu fulani,pambana kuhakikisha unampata kwasababu ukimkosa maisha yako yanaweza kuwa gizani. Ila pale utakapoona uwezekano wa kuwa naye haupo,usilazimishe ndugu yangu.Kumbuka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unamuaga mpenzi wako kuwa unaenda mkoa wa jirani kuhangaikia maisha yenu ya baadae, badala ya kukutia moyo ili ukafanikiwe unakoenda anakushushia maneno haya ".... we nenda tu kwa mwanamke wako...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari, Mimi ni kijana Mtanzania,mbena wa Iringa. Natafuta mwanamke asiyezidi umri wa miaka 31 lakini ambaye hana uwezo wa kuzaa(tasa) mimi tayari nina watoto wawili na kwa bahati mbaya siishi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa mawazo. Sijui nifanyeje mwanzo nilikua natabia ya kuota na sex na mwanaume lakini ninakama mwaka naota nasex na mwanamke mwenzangu nimejaribu kuomba hali hiyo inapotea kama...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Hii imekaaje? Kuna mdada wa kaskazini alinizimia sana na akataka nimuoe. Sasa mie nikamwambia sina mahaba nae, ye akakazana. Akawa ananiletea zawadi nyingi tu! Nilijitahidi kukataa akawa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Asalaam aleykum! Tumsifu yesu kristo! Kristo, Bila kupoteza mda naomba niulize swali kama ifuatavyo maana nimefikiria ila sijapata jibu. "Hivi ni kitu gani haswaaaa kinachoweza kufanya mwanaume...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Ghati Chacha (21) mkazi wa kijiji cha Nyanitira kata ya Nyansincha Wilayani Tarime amesababishiwa kilema cha maisha kwa kukatwa mguu wake wa kulia na Mume wake baada ya kuchelewa kumfungua mlangao...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Ewe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na...
0 Reactions
172 Replies
20K Views
Back
Top Bottom