Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari za jumapili wanajamii forum,
Leo ngoja niwapashe wale wanaume wanaopendwa kulelewa,hivi inakuwaje mwanaume mzima umepasuka kifua au una six pacs na mwili mkubwa unalelewa?????
Yaani haka kamtindo nakashuhudia sana hapa kilimanjaro hasa kwa jamaa ambao mademu wa kizungu wamewazimia lakini mwana hana hata kazi yoyote anayefanya ametulia tu analelewa jamani sisi wanaume hatuoni aibu???
Jamani kama umempata demu kakuzimia halafu wewe huna kazi mwambie basi akufungulie miradi ufanye hata na wewe uonekane unajituma sio umekaa tu unamtegemea yeye kwa kila kitu jamani wanaume wa shoka hili halifai jitume basi na wewe ili upate heshima ya huyo demu ambaye unaishi naye.
Hii kitu nimesimuliwa na mzungu mmoja hapa moshi wa kike aliyekuwa analalamika kwamba kuna jamaa yake anamtegemea yy kwa kila kitu yaani kampa gari,anamnunulia nguo lakini jamaa haonyeshi dalili yoyote ya kujituma jamani tubadilike.Jiwe hilo nimelitupa gizani litakalompata na abadilike, tujitume wanaume hata kama haupati basi onyesha unajituma ili kupata heshima ya huyo demu wako.