Mwaka mmoja talaka 1600 ,tatizo ni nini ?

Mwaka mmoja talaka 1600 ,tatizo ni nini ?

mkuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,462
watu hawajui umuhimu wa ndoa .hawajafundishwa ,au walikurupuka ,viongozi hawaelekezi vzr au nini?
DSC02452.jpg
 
Tatizo wadada hawajafundwa wakaiva ndoa imekuwa kama fashion tu ,na wakaka nao michepuko imezidi
 
Dini inaruhusu kupiga talaka, si ajabu kuwa na wingi huo wa talaka.
 
Huo ni mlango wa kufungulia ndoa za mikataba
 
Sababu hasa ni nini kwa sehemu tunayoambiwa yenye maadili kama huko???
 
Back
Top Bottom