Natafuta mwanamke mrembo,nimpe penzi la kipekee ambalo hajawahi kuona kamwe

Truth guy.

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
396
195
habari zenu wana JF? hakika hakuna jukwaa tamu kama hili,ukiwa JF unakuwa dunia nyingine on the other hand,jamani nataka ajitokeze mwanamke mrembo mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 35 mwisho,sichagui rangi,dini,kabila wala elimu,awe mrembo wa aina yoyote,mimi umri wangu ni miaka 32,mweusi,si mfupi wala mrefu,si mnene wala mwembamba,I'm a simple looking boy,ila kunako 6 kwa 6 niko fit ile mbaya,kiasi kwamba nitakayekuwa naye hatajuta kuwa nami,kazi yangu ni biashara ndogo ya dhahabu,ok aliye tayari jamani naomba tuonane pm.
 
hili tangazo ulipie
 
Back
Top Bottom