Kuna ubaya kumtongoza mdada mwenye mimba

Kuna ubaya kumtongoza mdada mwenye mimba

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Hi iron lady,Heaven on Earth, Ole Saidimu na wana MMU wote, habari za weekend.

Kuna mdada nimefahamiana naye katika harakati za kupambana na maisha, binti ni mzuri kweli kwa sura, mrefu,maji ya kunde, ameweka nywele za kuwa fupi/amenyoa, ni mcheshi kwa kweli.

Hatimaye tumezoeana sana ila ana mimba ya miezi 6, nimemuliza kuwa mimba ya nani akasema kwa kweli yupo ila kakataa katu katu kwani alipata mimba na mkaka ambaye hakuzoeana nae kabisa kimahusiano(emergence).

Hivyo yupo single kwa sasa na anatamani sana niwe nampa kampani nyumbani kwakwe.

Je, kuna ubaya nikienda kumkapani kwa kila kitu atakachotaka nyumbani kwake?
 
Achana na story za kijiweni.
Kama kweli unampenda basi utamlinda....kuwa nae, mtunze maana kiumbe kitakachozaliwa hakina makosa.
...si heri yake huyo, sie mpaka leo tunalelewa watoto na baba ambao si wao, tambu wakiwa embryo.
 
Una umri gani?labda tuanzie hapo.
 
Makaura
Kumpa kampani as in date her or just sleep with her? If its the former then be careful and tread slowly. She maybe intending to use you in trying to get the father of her child jelous. If its the other stuff, then.....................the two of you are consenting adults why not??Ila watch out Preggo ladies have their emotions all over the place so again be cautious. All in all just be cognitive that there bound to be some adverse consuquences and complication either way since mwenzio is in delicate situation to begin with.
 
Ngoja kwanza nikuulize wewe umeamuaje kwenye hicho kichwa chako?
 
kama unamuhitaji kama mke haina neno ila kama unataka kumchezea toka ndukiii coz mungu atakulaani
 
sina wasiwasi na uanafunzi wako ila nina wasiwasi na umri wako...
 
Mapenzi hayachangui sura. Kama kweli unampenda je upo tayari kuwa nae?
 
Huyo mdada kama anakupenda na hampendi tena baba mtoto angekuambia kila kitu bila kuficha. Ila kuficha kwake na kukueleza kiufupi weka ???

Mtu akianza na siri kabla hamjatoka unategemea baadae atakuwaje? Na kama una pesa jiangalie pia y anakutaka. Au labda anataka kulalwa tu ila why anakuficha ukweli? Ni mume wa mtu? Ni amesafiri? Ni ilikuwaje/inakuwaje?

Pia wengi huwa awapendi kulala na wanawake wenye mimba ambazo sio zao. So kuwa mwangalifu
 
Makaura
Kumpa kampani as in date her or just sleep with her? If its the former then be careful and tread slowly. She maybe intending to use you in trying to get the father of her child jelous. If its the other stuff, then.....................the two of you are consenting adults why not??Ila watch out Preggo ladies have their emotions all over the place so again be cautious. All in all just be cognitive that there bound to be some adverse consuquences and complication either way since mwenzio is in delicate situation to begin with.

i will be giving you likes for any post from now
until you come begging for it....ha haa
 
Back
Top Bottom