zaburimatendo
Member
- Aug 8, 2014
- 11
- 8
jaman nmekuwa na tabia ya kufananisha tabia za mpenzi wangu wa kwanza na wengine ninaokutana nao na hilo lime
nimekuwa na tabia ya kufananisha tabia za mpenzi wangu wa kwanza na wengine wanaofuatia tabia hii inanifanya nione kuna kitu wamekosa nisaidieni jamani nifanyaje nashindwa kuacha.