Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nawasalimu wana JF Natafuta rafiki wa kike mwenye hofu na Mungu anaye jitambua na asiwe limbukeni na dunia, awe na nywele za asili anayependa kuwa halisi kwa muonekano, elimu ni kigezo cha ziada...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mwenye wa miaka 25, ninafanya kazi kwenye kampuni fulani hivi ya kigeni, elimu yangu ni kidato cha sita. Natafuta mchumba awe na sifa zifuatazo. -awe mwenye...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Jana, mume wa rafiki yangu amemuua mtoto wake bila kukusudia akiwa anageuza gari lake atoke kweda kazini. Sipati picha maumivu walio nayo wazazi hasa baba wa mtoto kwa kusababisha kifo cha...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamani nina demu wangu tunapendana sana,ila mapenz yetu hayana mda mrefu hata miez 6 bado. Sasa jana kuamkia leo alitoka kazini kwake amechelewa, nikampitia nikamshawishi twende wote geto kwangu...
4 Reactions
77 Replies
101K Views
Hi Ningependa wana MMU tutoe definition ya love au mapenzi tuone which suites the word. I guarantee the winner to be a queen or king of love.
0 Reactions
115 Replies
8K Views
Hebu fikiria kwamba watu wawili wenye ujuzi sawa wameenda mahali kuomba kazi. Je, kama ni wewe unayetafuta mtumishi kwenye ofisi yako, utamchukua ambaye hajiamini kati yao? Hapana utamchukua yule...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kupata mke wa kuoa hapa jamii imekuwa kasheshe kubwa sana kwangu mimi kila mwanamke ninaekutana nae anataka niwe na mjengo na nisiwe na watoto,nina miaka 42,tangu nikiwa na miaka 37 nimeanza...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimeanzisha mahusiano ya uchumba na binti na tuna muda kama mwaka mmoja. Siku moja katika maongezi yetu nikamdadisi vya kutosha kuhusu suala la afya akafunguka mengi sana. Baadhi ya matatizo...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Inasikitisha, lakini ndiyo tena yametokea, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu, jamaa katobolewa jicho na kukatwa masikio; tafadhali soma zaidi hapa chini: Akatwa masikio, atobolewa macho baada...
0 Reactions
57 Replies
14K Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo, Usiku wa kuamkia leo kuna msichana amenitokea ndotoni.Msichana huyu niliwahi kumtongoza kipindi nasoma chuo kikuu na nilikua nasoma nae darasa moja. Nililazimika...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwisha habari, wanaume tumebaki wachache. Kuna siku nimesoma thread ya mtu aliyejiita mwanaume analialia mwanzo mwisho, ati kapigwa chini na binti! Wanaume siku hizi wamekuwa wa kuunga unga kiasi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Neno gani linauma na kuchoma zaidi kutoka kwa mpenzi wako unae mpenda kwa dhati? 1. Tuachane. 2. Sikutaki tena. 3. Nimepata mwingine. 4. Mbona king'ang'anizi wewe. 5. Sikupendi. 6. Wazazi wangu...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
uwanja wako wa taifa ni mkubwa,unategemea nitumbuizaje nishinde mechi?
1 Reactions
40 Replies
6K Views
1.Ungejua wala sina haraka ya kuolewa! Hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kuona umri unamkimbia, ameshahudhuria harusi za marafiki zake, pengine ameshaliona mpaka gauni litakalompendeza harusini...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
A graduate has been seeking for job, for almost fifteen good years. No means to get money. Then one day she had only but one dollar with her, she entered in a restaurant and bought food with that...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau nina mpenzi wangu ambae anasoma chuo kiukweli katumia pesa zangu sana tu mpaka akafikia kunizalia mtoto, sasa pesa zimekata na nyumba niliyopanga nikarudisha nikarudi home kujipanga upya...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
habari za usiku wana jamii forum. kuna hii insue unakuta mtoto anakaa na mama yake mzazi together with his step father but anakuwa too insecure na pia wengi wanakuwa na very low self esteem...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nitakuwa mtwara kwa kipindi cha miezi sita kikazi niko single so kama uko interested lets mingle huwezi jua unaweza kuwa muke ya Boss
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuonyeshwa mapenzi yaliyopitiliza: Huyu ana ushuhuda…! Nilifunga ndoa na mume ambaye mwanzoni kila mtu aliamini kwamba nilimpa madawa ya kumpumbaza kwa jinsi alivyokuwa amehemkwa kwa...
13 Reactions
104 Replies
19K Views
Habari zenu wana group. Tunauza PADS za Human Cherish maarufu kama HQ. Kwa sasa tuna Sanitary Pads tu ambazo hutumiwa na wanawake kwenye kipindi cha HEDHI. PADS hizi ni Pads zenye ubora...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…