Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ninae girlfriend wangu, tulipanga tutoke siku ya weekend mimi nikakubali ila ilipofika hiyo siku nikalazimika kuairisha zoezi kutokana na kutingwa na mambo, however nilikutana na huyo girlfriend...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
CHAKE NI CHAKE Kinachopita ni chake, hata kama si cha kwake, Chochote kwake ni chake, hata kama cha mwenzake, Ukicheka usicheke, akikipenda ni chake, Yeye chake ni cha kwake, cha kwake si...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jukwaa Pendwa. Leo sina Jipya ila kuna hili suala la wanawake ambao wamekwisha kuolewa. Topic Yenyewe. Ni kawaida kwa Jamii yetu ya Kitanzania mwanamke anapoolewa anakuwa siyo mali...
0 Reactions
189 Replies
18K Views
Jana niliona kwenye yahoo video moja ya kuchekesha na kusikitisha. Kuna mtoto wa miaka saba ameiba gari ya baba yake wa kambo na kuanza kuendesha kwa speed ya ajabu huko US. Jamaa mmoja...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
nina hamu sana ya kumpata mchumba mwenye mapenz ya kweli, niliyekuwa nae kanikataa kisa kumwambia naenda kusoma.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sifa pale inapostahili jamani tuwe tunawapa wausika. waislamu tumekuwa tunasimanga sana kwa ukatili. mabomu ya kujilipua wenyewe, mara sijui nini, jana nimepata bahati ya kusikia mawaidha kuhusu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni amu ndugu zangu, anaumwa wakati alio nao ni mgumu sana kwake. Kila mmoja wetu amuombee kwa Mwenyezi Mungu amuepushe na kumuweka kwenye hali nzuri.
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Ukihisi Chunguzi zangu zimekuzidi umri pita kimya kimya ____________ Kuna tabia ambayo ipo sana kwa wanawake wengi ambao wameajiriwa katika maofisi mbali mbali, tabia hii ni kununua nguo, viatu...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Hi guys wazima humu? As for me am ok miss u sana mambo mengi nashindwa kujumuika nanyi humu ndani. Samahani kama ntawaboa baadhi yenu kwa kuchanganya lugha just know kiswahili isn't my first...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Jamaa yangu wa karibu ameoa na wana watoto watatu. Miezi miwili iliyopita wife kamuaga anaenda kwa dada yake kumsaidia kwani yu mgonjwa. Jamaa akamruhusu bila hiyana. Baadae mchana katika...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Kuna mambo ambayo watu wengi hususani vijana walioajiriwa kwasababu ya kukosa cha kufanya wanajikuta wakiajiriwa kufanya kazi wasizozipenda au pengine zakulazimishwa.. nimesoma mahali kuhusiana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili nimelishuhudia, baada ya kumpa nafasi ya kupata elimu ya utaalamu na kupata ajira,wasomeshaji hupigwa chini, na bibie kujichanganya mbele kwa mbele
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Jamani enough is enough miaka 31 na bado kila mwanamke namwona si chaguo langu, ni yupi mungu ameniandalia mimi kuwa wangu wa maisha?? Je ni wewe mdada unaesoma hii meseji?? C'd it be you? Nina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unakuta msichana anajua kabisa wewe ni senior bachelor ila anakuja kwako mida ya jioni atakaa hapo kihasarahasara mpaka nne usiku. Atakunywa pombe zako na msosi atapiga, movie ataangalia ukitaka...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Trying to understand men when it comes to cheating is like trying to solve a Chinese puzzle when you cannot read Chinese. It is always difficult to understand why a man will cheat, especially on...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Maneno haya niliambiwaga na marehemu bibi yangu, Mwanamke usiwe malaya kutembea na wanaume hovyo, sio sifa na pia usishindane na mumeo eti yeye akitoka kuchepuka na wewe unachepuka , wanaume...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 22, ni mtu wa kujituma na kuhustle katika life..natafuta girlfriend mzuri mwenye upeo..ambaye tunaweza tukasaidiana kimapenzi na hasa hasa katika michakato ya kimaisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeolewa sasa mume wangu ana mdogo wake wa kike ambae ni mtoto wa kaka yake baba yake(bamdogo) wake hatuishi nyumba moja ila ni ndani ya mji mmoja sasa huyu binti hapa mjini anaishi na mdogo wa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
nmenukuu kutoka mahali fulan kisa cha hyu dada na ndoa yake: HII NI KWA WALE WANAOTOA TIGO ZAO, WAAMBIE TIGO ZINA MADHARA HASA KWA WANAUME WENYEWE,,,, MIE YALIMKUTA MME WANGU ILA FICHA JINA LANGU...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ukweli ni kwamba, kuna wanaume wanaoshikwa nawake zao. kushikwa maana yake ni mwanaume kufujwa yaani kudhalilishwa kwa kauli na vitendo na bado mwanaume akaendelea kung’ang’ania kwenye uhusiano...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom