Wosia wa bibi

Wosia wa bibi

Ziada

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
82
Reaction score
17
Maneno haya niliambiwaga na marehemu bibi yangu,

Mwanamke usiwe malaya kutembea na wanaume hovyo, sio sifa na pia usishindane na mumeo eti yeye akitoka kuchepuka na wewe unachepuka , wanaume hatuwawezi hawa hawana haya wewe toka umekuwa na mahusiano na wanaume, si unaona ukiingia nae ndani hata kwa mara ya kwanza hakujui humjui wa kwanza yeye kuvua nguo na kuzitundika kwenye msumari.

Hawana haya mbele ya wanawake , usishindane na mumeo pindi utakapoolewa ye mchi wewe ni kinu sasa utambue kinu ndio kinapata maumivu wakati wa kutwanga utachoka bure mjukuu wangu.

Yeye akifanya mambo mabaya sali piga goti kwa Mungu muombe kula vizuri penda familia yako, vaa vizuri.
 
Mpk mnaingia ndani si ina maana ndio mnataka kujuana maana nje tunakuwa tunafahamiana
 
Meseji nzuri sana ya bibi, na ukijishusha kwa mwanaume anakubeshimu na kukuthamini (anahisi vizzuri uanaume wake ndani na nje ya Nyumba)
 
Kibibi kibibi kimempeleka babu segerea. Bibi yako ni mshauri mzuri sana.
Nalog off
 
siku hizi bibi wa namna hii wameisha labda wangesjidia kwenye shaping and reshaping of our marriages.
Bibi wa siku hzi weng hawana tofauti na vijana, na hata vijana weng wa siku hizi hawako tayari kusikiliza ushauri wa bibi labda wa kwa mashoga zao
 
Men are looking for the kind of woman who will take their entire cheating BS and more. But she no longer exists.
 
Wadada nao siku hizi utulivu nehi, tulizaneni kwenye ndoa zenu.
 
Back
Top Bottom