ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,998
- 2,242
Mimi ni kijana wa miaka 22, ni mtu wa kujituma na kuhustle katika life..natafuta girlfriend mzuri mwenye upeo..ambaye tunaweza tukasaidiana kimapenzi na hasa hasa katika michakato ya kimaisha..
Mimi sio mpweke ila ntafurahi nikipata girlfriend type yangu..pm me
Mimi sio mpweke ila ntafurahi nikipata girlfriend type yangu..pm me