It might be you, my dream girl

It might be you, my dream girl

Sembeta jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
805
Reaction score
367
Jamani enough is enough miaka 31 na bado kila mwanamke namwona si chaguo langu, ni yupi mungu ameniandalia mimi kuwa wangu wa maisha?? Je ni wewe mdada unaesoma hii meseji?? C'd it be you? Nina kipato cha kawaida kabisa cha kutosha kuhudumia familia yangu, lakini nimedharauliwa sana. nimedanganywa sana..... nimenyanyasika sana na nimeumizwa sana katika mapenzi lakini bado na imani yupo wangu ambaye tutaendana.... tutapendana na kupeana faraja mpaka mwisho wa uhai wetu.

Nilijaribu kuishi singo lakini bado nafsi yangu nahisi kuna kitu inakosa, ninatamani kuelekeza fikra maisha na upendo wangu wote kwa atakayetokea anayehisi kama mm kwani naamini wapo wengi ambao wanatamani haya niliyoyasema lakini hawajui watapata wapi upendo wa kweli.... please kama ni wewe come to me na nitakupokea kwa mikono miwili tafadhali njoo tupendane..kwani nahisi upendo wangu umevuka mipaka yote ya kibindamu.
Tafadhali, mimi na ofa upendo uliotukuka na vingine ndo vinafuata.

mimi ni muislamu ni mwajiriwa ktk kampuni, naishi dar/pwani.

Sichagui chochote ila kupima afya ndo kipaumbele cha kwanza.

Kama kweli kuna watu humu walipata wenzi wao nami naamini kama mungu amepanga nimpate aliyenipangia basi nami ntapata hapa au popote pale.

Dhamira yangu kuu ni ndoa na upendo tuu.

Kwa kuwa jambo langu nalifanya kwa heri, wala sina cha kuficha hata hapa tunaweza tambuana lakini pia pm ruksa.

Asanteni sana
 
Kila la kheri mkuu but think hapa si sehemu sahihi utawapata wengi ila sasa bora ya wale ulio waacha.
 
Kila la kheri mkuu but think hapa si sehemu sahihi utawapata wengi ila sasa bora ya wale ulio waacha.

Ni sawa mkuu ila naaamini hata hapa wapo wenye uhitaji kama wangu.....tukikutana tukaunganisha hisia na mapenzi yetu naamini tutaform strong bond ever happened...in our lives.
 
Ni sawa mkuu ila naaamini hata hapa wapo wenye uhitaji kama wangu.....tukikutana tukaunganisha hisia na mapenzi yetu naamini tutaform strong bond ever happened...in our lives.

Gud wish pia tunaomba mrejesho...! Maana njia ni moja kuingia na kutoka jf kusaka mwenza shida wapitia njia hii kuwatafuta wenza wao hawarudi! Binfsi sijawahi ona ushuhuda mtu hapa.
 
jamani hujawahi ona ushuhuda sasa ule wa mod (joke) fulani alishuhudia hapa au umesahau inini?
Gud wish pia tunaomba mrejesho...! Maana njia ni moja kuingia na kutoka jf kusaka mwenza shida wapitia njia hii kuwatafuta wenza wao hawarudi! Binfsi sijawahi ona ushuhuda mtu hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom