Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Ninae girlfriend wangu, tulipanga tutoke siku ya weekend mimi nikakubali ila ilipofika hiyo siku nikalazimika kuairisha zoezi kutokana na kutingwa na mambo, however nilikutana na huyo girlfriend wangu for a drink na pia kusisitizia kwamba our plan will not work that day.
Mdada alikasirika sana na kuanza kunitukana kuniambia mimi ni mjinga na mpumbavu. Tuliendelea kukaa na kula kinywaji na yeye akawa ana chat na mwanaume ambae alikuwa ana mdate huko nyuma. Tulikaa mpaka saa 7 usiku nikamsindikiza mpaka kwenye gate lake though pia alikuwa na gari yake.
Swali
1. Je kweli huyu mdada ananipenda? Ataniitaje mjinga na mpumbavu?
2. Je atachatije na mwanaume mwengine usiku almost saa sita?