Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kila mtu anayalilia mapenzi tena kwa nguvu, akiyapata wengi wao wanaanza kulalamika na kutaka kuyakimbia. Je, ni sababu ya tamaa, utoto,kutojipanga au nini? Hebu toa sababu moja na eleza...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habar zenu waAfrika kamili. Kwa kifupi mimi ni mzima kabisa yaani sijui niseme nini kwa kweli nashukuru kichwa kimepona japo kilikuwa kinauma kwa mbali. Sijaja humu kwa salamu tu kwa sababu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Napiga hodi wana JF humu mnikaribishe Ila nitafurahi sana endapo nitakaribishwa kwa kutimiza ndoto ya maisha yangu, mimi nipo single,ni mwanaume wa miaka 26 natafuta mchumba mdada mwenye mapenzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimetumia dakika kadhaa baada ya kuandika hii title nikiplan nianzeje huu uzi ili watu wanielewe. Hata hivyo nimegundua kuwa itakuwa ngumu sana, ingawa no ukweli. Vigezo nilivyotumia kuwaza miaka...
6 Reactions
86 Replies
11K Views
Viuno kwa waafrika ni sanaa, hufanyika ngomani, shuleni,shereheni na hata faraghani. Wazungu wamejaribu sana kujifunza sanaa hii lakini wameshindwa,haipendezi. Kwetu Tanzania watu wala...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Kuna people kazi yao kuponda kuwa kinyume na ukweli utasikia wanawake wa kuoa ni darasa la saba au form four eti wenye degree hawana unyenyekevu. Watu wanaisupport tu. Utasikia wanawake wanene...
0 Reactions
87 Replies
6K Views
huyu mdada amkekuwa na tabia ya kunifokea anapokuwa na hamu , shida yake hutaka nimbembeleze alafu nimfanye. Na ninapomfanya huwa mpole. Sasa najiuliza atakuwa na tatizo gani?
1 Reactions
73 Replies
8K Views
Za asubuhi wana MMU Hebu tuwekaneni wazi jamani maana naona hizi kesi sasa zimekuwa kama habari ya mjini Juzi kati kuna rafiki yangu kaja kunipa habari kuwa ameopoa bonge la mtoto tena wa nguvu na...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Habar zenu wana MMU, tangu wiki iliyoisha nimepatwa na masahibu ya kujigi jigi over performance. Lile tunaloliita kihere here a.k.a bao la kwanza kwangu imekuwa tofauti maana nachukua mda mrefu...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni binti nina mpenzi wangu ambaye tuna muda mrefu kwenye uhusiano wetu. Tatizo ni kwamba wakati nampenda alinifanyia visa vingi sana aliniumiza mpaka nikaona dunia chungu ila sikuwa na uwezo...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna jinsi ya kumtambua mwanamke anayeliwa kinyume na maumbile bila ya yeye kuthibitisha?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ananafuu? hata kuishi naye.cc miss neddy, miss chagaa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
kwa wanawake wale ambao hawajaolewa na wale walioolewa, toeni ufafanuzi wenu kati ya mwanaume mlevi na mzinzi (mpenda michepuko) ni yupi ana afadhali? hata kuishi naye.cc@missneddy, miss chagaa...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Wiki ya pili sasa toka atoke kwao na kichanga changu na sikuwahi ishi nae zaidi ya kuduu tu na akikaa kwangu ni siku moja ama mbili basi anarudi kwake. Kinachonishangaza sijui nini yaani amekuwa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
  • Closed
Jamani tumuepushe shetani kwenye huu uzi! Bi mkubwa ashasamehewa kiroho safi! Mambo mengine yaendeleee! Tufanye yetu saivi. Maana soon nitapotezwa mmu kama ndege za malesia kama nyuzi zangu...
17 Reactions
377 Replies
28K Views
Jaman yule dada ambaye nilimlipia nauli kwenye daladala jumapili iliyopita halafu akanipeleka kwa mume wake akaenda kunirudishia, jana tumeonana tena. Kama inavyofahamika kwa sisi watanzania...
3 Reactions
101 Replies
10K Views
Mwangaruka mabestito On your Birthday today, take time to enjoy the gifts of God, the love of your kith and kins and the warmth that the people around you have given, because life is nothing...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom