Sifa pale inapostahili jamani tuwe tunawapa wausika. waislamu tumekuwa tunasimanga sana kwa ukatili. mabomu ya kujilipua wenyewe, mara sijui nini, jana nimepata bahati ya kusikia mawaidha kuhusu mwanamke wa kiislamu nimependa jumla yaani.
Mwanamke wa kiislamu mwili si wake, ni wangu mwanaume, utataka nini zaidi?
Asipinge mume, awe malaya kwa mume wake tu, yaani utataka nini zaidi? anatakiwa kujipaka mafuta ya kunukia ukianza usiku ukute ananukia vizuri.
Mwili wake ufunikwe niwe naona peke yangu, kubishana bishana na mume mwiko.
Hawa watu tunawalaumu kwa mengi, lakini kwenye hili la mke wamekaa vizuri sana.
Nimekaa nasikiliza mawaidha yale hamu ya kupata mmoja imenijia kasi ya radi.
Hawa wa kwetu kidomo-domo wamezidi, haki sawa haki sawa? nani kakwambia Mungu alipanga haki sawa? na wala hauitaji kufanya utafiti, we subiri tu lara 1 aanzishe uzi hapa utaona wanavyotiririka.
Napataje huyu wife material jamani msaada tafadhali.
Unaweza hata kuni-pm