Divorce zinatesa watoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Divorce zinatesa watoto

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nyumba kubwa, Jun 24, 2011.

 1. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Jana niliona kwenye yahoo video moja ya kuchekesha na kusikitisha.

  Kuna mtoto wa miaka saba ameiba gari ya baba yake wa kambo na kuanza kuendesha kwa speed ya ajabu huko US.

  Jamaa mmoja amekutana nae barabarani si ndio kapiga simu polisi.

  Polisi wakaanza kumfukuza na yeye ndio akazidi kukanyaga mafuta. Wakaamua ku overtake ndio mtoto kakanyaga break ila polisi wanasema walihisi lazima mtoto atapata ajali mbaya sana. Walifungua mlango wa gari wakamkuta mtoto macho yamevimba analia.

  Kumuuliza kulikoni akawaambia alikuwa anaenda kwa biological father wake kwani hajamuona siku nyingi na amemiss sana.

  Kwa hiyo akaamua kuiba gari ya baba yake wa kambo. Sasa sijui alikuwa anajua address ya anakokwenda au aliamua tu mbele kwa mbele.
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa,lakini mara nyingi wazazi tumekuwa tukiweka ubinafsi wetu mbele kuliko kungalia mateso watayopata watoto.
   
 3. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mara nyingi wazazi tunayapeleka matatizo yetu hadi kwa watoto na watoto ndio wahanga
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli inasikitisha sana. Yeyote anayekuwa chanzo cha maugomvi ndani ya nyumba iwe cheating or what na kupelekea divorce kwa kweli ni mtu ambaye naweza sema hana upendo na watoto. Watoto wao hawajuhi kinachowatenganisha na hawaelewi kabisa kwa nini mama, baba hataki kuishi na mimi tena? Kwa nini nimepewa baba/mama mpya? Real sad! Separating a kid from his or her dad. Ila tunakoelekea watoto wengi wataishi haya maisha na yatawa affect kisaikolojia. Akienda kwa baba hakubaliki (mama kambo) akinenda kwa mama hakubaliki (baba kambo) Kazi kweli kweli.
   
 5. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nadhani inabidi turudi kwenye drawing boards...wakati wa u-boy/girlfriend na tujitahidi sana kuwajua partners wetu kwa undani na pia tujitahidi sana kuonesha our true colors kwa wenzetu ambao tumeamua kuishi nao milele ili tufanyapo maamuzi tuwe na uwezo japo kidogo wa kuona tutaweza ishi pamoja au vipi. kuvuruga familia kuna madhara mengi sana kwa pande zote husika, lkn zaidi kwa watoto
   
 6. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ni kumuomba Mungu usiachane na mwenzi wako na usicheze faulo halafu ukazalisha na kuoa mwingine. Machozi ya watoto yanayolia kwa uchungu wa kukosa haki ya msingi yatakurudia siku moja.
   
 7. M

  Mary Glory Senior Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ah umenikumbusha jamaa mmoja ambae yuko kwenye process za divorce na he is proud of it.mtt wake amekuwa akibadilishiwa mama kama kitoweo.funny enough mtt mwenyewe ni mdogo about 5 years na hivi sasa ana mama mwingine ambae ana kama mwezi tu toka huyo babaake amoe.ameshabadilishiwa mama kama maraa sita hivi na huyu wa sasa ni wa imani tofauti.sipati picha huyu mtt atakuwa wa aina gani n mbaya zaidi afya yake pia si nzuri amekonda amebaki kicwa tu.i wish mama yake wa kumzaa angejua stutus ya mwanae.inasikitisha kweeli!
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  I hate divorce!!!!
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  familia za siku hizi zinalegalega kutokana na watu kutanguliza majukumu ya kazini na familia kufuatia baadae...wahanga wakubwa wakiwa ni watoto.
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ni kweli divorce zinatesa sana watoto, bt kwa hii story nimegundua kuna utofauti sana kati ya mateso ya watoto wa kambo wa ulaya na watoto wa kambo wa africa. Kwa mtoto wa kambo wa africa pindi yanapowafika mara nyingi wengi wao huishia kua machokoraa na watoto wa mtaani! Kweli kunahaja ya sisi kuwafikiria hawa watoto, pia wazazi wawatunze watoto wao vyema!
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hilo hupelekea watoto wengi kujihisi wao ndio chanzo cha kuvunjika ndoa ya wazazi wao.
  Wazazi wana wajibu mkubwa kuhakikisha 'smooth' divorce bila kuathiri maisha ya watoto.

  Gombaneni, lakini maugomvi yenu msiwatumie watoto kama fimbo ya kumchapia mzazi mwenzio.
  Watoto wapewe haki yao kwanza, kisha kila mzazi nae apewe haki ya kuwaona watoto.
   
 12. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hii na kwetu imeanza kuingia kwa kasi ya ajabu
   
 13. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mafahari wawili wagombanapo ziumiazo ni.............???????
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2014
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  ...nyasi
   
 15. k

  krenea JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2014
  Joined: Apr 3, 2014
  Messages: 406
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ukishapata watoto inatakiwa kuacha ubinafsi.
  lakini mada za humu ndani za mara anakibamia nachepuka mara oooh mke wangu anipi mechi vizuri nachepuka.mwisho wa siku ni kufumaniana na kupeaba talaka.
   
 16. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2014
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  Wakati mwingine huwa mapenzi yanatuharibu namna yetu ya maamuzi.
  Unajistukia umeingia chaka while it's too late.
   
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2014
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Hapa huwa tunachangia kufurahisha genge tokana na upepo unavyovuma siku hiyo...
  Ila watoto wengi wana kuwa affected sana na broken homes...
  Kuna couple naijua walikuwa wanaishi kwa ligi...alianza mwanaume kuwa na wanawake kila kona tena openly...
  Mke nae kaamua kurudia asili (maana alikuwa kiwembe kabla ya kuolewa na jamaa ila jamaa alikuwa analijua hilo)
  Kilichofuata wametengana...
  Kabla ya kutengana mama wa kijana aliamua kumchukua mjukuu wake baada ya kuona vijana hawana heshima ya kulea mtoto...

  At least huyu mtoto ana bibi tajiri...though atakosa mapenzi ya baba na mama...


   
 18. m

  miss ngatara JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2014
  Joined: Apr 6, 2014
  Messages: 521
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na akiwa mkubwa anapata unyonge wa kuwa na mdogo wake baba mmoja au mama mmoja, hiki ninachokisema kwa wahanga wa hili wananielewa kabisa
   
 19. k

  krenea JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2014
  Joined: Apr 3, 2014
  Messages: 406
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kabisa mkuu hapo Mungu asaidie alelewe na mamake mzazi ili apate bond na watoto wa mama yake vinginevyo anakosa kabisa rafiki wa karibu.
   
 20. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2014
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  So do I
   
Loading...