Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi?

Maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku.

Sasa najiuliza nitakapo oa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?
 
najiuliza hivi mwanamke ili asijione hapewi mambo kwa wiki anahitaji mechi ngapi? maana kazi nifanyayo inanila muda na muda mwingine nalala saa nane usiku. sasa najiuliza nitakapo owa mwanamke atakuwa anahitaji kupewa mambo kila baada ya muda gani kwa wastani?
Mbona hii kitu haina siku sngapi wala mara ngapi mkijisikia tuu,wala kufanya sana sio dawa, ila unapofanya ufanye kweli sio unampapasa papasa mtoto wawatu uki gusa mlango umemaliza utulize akili yako na uwajibike..........
 
We mpe kila anapotaka!!!!
Unataka schedule ya nini???!!?

Atakuelewa nawe utamuelewa tu na hiyo kazi wala haitakuwa kikwazo ila sasa uwe busy na faida ionekane hoke sio wewe haupo na uwepo wako hauna faida!!!!!
 
We mpe kila anapotaka!!!!
Unataka schedule ya nini???!!?

Atakuelewa nawe utamuelewa tu na hiyo kazi wala haitakuwa kikwazo ila sasa uwe busy na faida ionekane home sio wewe haupo na kutokuwepo wako hakuna faida!!!!!
 
mkijiskia bana,na kama alivyosema jamaa,unampakua kweli hiyo cku,..
 
Naona unatengeneza mpango mkakati (strategic plan) wa ndoa. Usisahau kuweka viashiria (indicators) vya utekelezaji.
 
Naona unatengeneza mpango mkakati (strategic plan) wa ndoa. Usisahau kuweka viashiria (indicators) vya utekelezaji.

nimeona baadhi ya wanawake kwenye ndoa kuwashitak waume zao kwa viongozi wa kanisa kwa kutopewa huduma hiyo, nikaona nijue ili nijije nami nikawa mtu wa kuitwa kwenye vikao na kuhojiwa.
 
Unatakiwa unywe maji mara ngapi kwa wiki? Si kila mtu na kiu chake?

ndio maana nikauliza ili nijue kawaida kiu huwaje, maana kazi nilizonazo zinanipunguzia kiu, sasa sijui kiu yake naye kama itakuwa inapungua ama vipi
 
Back
Top Bottom