Nifanyeje jamani?

Nifanyeje jamani?

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Mpenzi wangu ananiambia anahamu ya kufanywa angali mimi nimechoka na kazi za ofisini niko choka mbaya huyu mzee hata akilazimishwa kusimama sidhani kama atatoa maji .

nifanyeje wadau ili asione namwangusha?
 
hizi kazi za design software ngumu kweli maana mtu unafanya kazi mchana na usiku kuumiza kichwa tu.
 
Mpenzi wangu ananiambia anahamu ya kufanywa angali mimi nimechoka na kazi za ofisini niko choka mbaya huyu mzee hata akilazimishwa kusimama sidhani kama atatoa maji .

nifanyeje wadau ili asione namwangusha?

Nasikia Bunge la Katiba linavunjwa, mkuu tpmazembe hizi habari ni za uhakika au porojo tu!
 
mtafuta mtu hapo jirani akusaidie...mambo kusaidiana bana
 
Mkuu sisi watanzania tuna moyo wa kushirikiana hebu asikuchoshe mlete kwa jembe,wewe uko bize alaf yeye analeta masiara..
 
Mmh. Kashachepuka huyo. Hyo n style tu ili ukmbamba akuambie s nlkuambia lakn haukuniskilza wala kuntmizia
 
Yan mim sijaelewa umekuja jf kuomba wakasaidie kumgonga dem wako au kukusaidia nin haswa??
 
Fanya mazoezi asubuhi kabla ya kwenda kazini najioni ukitoka kazini halafu jitahidi kula vyakula vya Kienyeji zaidi pamoja na matunda, nakwambia uchovu wote utakwisha na ngamia utampanda vuzuri kwa muda wowote.
 
Weka huyo mzee wako kwenye maj ya moto sana ndo atasimama
 
Fanya mazoezi asubuhi kabla ya kwenda kazini najioni ukitoka kazini halafu jitahidi kula vyakula vya Kienyeji zaidi pamoja na matunda, nakwambia uchovu wote utakwisha na ngamia utampanda vuzuri kwa muda wowote.

kazini natakiwa niwe saa kumi na mbili kurudi narusi saa tatu usiku na ninaporudi unakuta nina kiporo cha kazi ambayo huwa nafanya mpaka saa saba ndio nalala
 
mlete kwangu,,,nna kama lita 5 iv apa,,,nakuhakikishia hata kusumbua tenaa
 
kama babu hasimami mwimbie wimbo wa Taifa hata baba riz anasimama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom