Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Wewe me mwenzangu unadiriki kusema kwamba:- aaagh mi galadudu siwezi kumtambulisha kwa mke wangu na wala ctaki mazowea ya yeye kuja kuja kwangu maana haaminiki yule anaweza akamgegeda wife.
Sasa kwa kauli hizo ina maanisha kuwa huyo mkeo huwa hajui kukataa wanaume au inakuwaje.
Sasa kwa kauli hizo ina maanisha kuwa huyo mkeo huwa hajui kukataa wanaume au inakuwaje.