Interracial marriage/interracial sexual relationship

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,950
Reaction score
33,800
Wadau habari zenu.

Binafsi toka nizaliwe na kukua hadi sasa sijawahi kusikia muhindi [indian] ameoana na Mtanzania yoyote.

Nilijaribu kuchunguza ni kwa nini? Jibu nilipata ni kuwa hawa watu ni wabaguzi sana mfano mzuri ni wao kwa wao inasemekana mhindi mwenye rangi nyeupe kuoana na mhindi wa rangi nyeusi si rahisi na ni kwa nadra sana.

2. Kuna rafiki yangu anasoma india ana mahusiano na binti wa kihindi na lengo lake ni amuoe, mimi nilimpa precaution kuwa kama anataka kuwa marehemu mtarajiwa atakaye jua chanzo cha kifo chake ajaribu kufanya hivyo.

3. Nimekaa mtaa wa fire/upanga maeneo yale kuna wahindi na waarabu wengi mara kwa mara nilikuwa nikiwaona wakiwa na uhusiano wa kimapenzi na dada zetu wa kitanzania but wao wakisikia una date na dada zao unatishiwa amani sana au huyo anaye date nawe kutengwa na familia yake.

Nawaomba wadada msiwashobokee sana hawa watu, hawa sio watu kabisa.
 
Kuolewa na waswahili hawaolewi lakini wanamegwa kama kawaida.
 
kitu pink, njawahi labda nimchopoke zombie?

Umefanya wapi hiyo sensa kuona hakuna mswahili kaoa mhindi? Aub wahindi wa tz wako upanga tu?

Mwabuki kuna mmoja kaoa mhindi tena kuchi kuchi hotahe orijino.
 
watu kwa ujuaji bana, ni wapi ulishaona binti wa kiindi kaoleawa na mbongo, tuache ujuaji , mtoa uzi yupo sahihi kabiasa
Riwa naomba unisaidie jina pale muhimbili kuna Dr Mtanzania mweusi amemuoa Dr mwanamke ni Muhindi pure. Siwakumbuki majina ila niliwafahamu nyumbani kwa Dr Kabote kulikuwa party miaka takriban 10 iliyopita.
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu ni kweli wanayo tabia ya kutengana pale mweusi anapooa au kuolewa na mtu wao.
Swala la kuwa hakuna kabisa, Hiyo si sahihi kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha kuhitimisha na kuthibitisha madai yako.

Mfano yupo Mhindi kabisa mwamme mimi namfahamu yeye ameoa Mama wa Kimanyema wapo Mikocheni-Dar.
Yeye alishatengwa siku nyingi. Ila maisha na Manyema wake yanasonga.
 
Kuna mfanyabiashara namfahamu hapo Mwenge nae kaoa kanjibai orijini. Wana maisha yao ya raha na amani kabisa
 
Riwa naomba unisaidie jina pale muhimbili kuna Dr Mtanzania mweusi amemuoa Dr mwanamke ni Muhindi pure. Siwakumbuki majina ila niliwafahamu nyumbani kwa Dr Kabote kulikuwa party miaka takriban 10 iliyopita.

ni dr gami muhimbili ana mke muhindi..? maana na mimi nlikua muhimbili kwa miaka mingi na sijatoka mda mrefu sana maana sijawahi kumuona
 
Hawa watu ni kweli wanayo tabia ya kutengana pale mweusi anapooa au kuolewa na mtu wao.
Swala la kuwa hakuna kabisa, Hiyo si sahihi kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha kuhitimisha na kuthibitisha madai yako.

Mfano yupo Mhindi kabisa mwamme mimi namfahamu yeye ameoa Mama wa Kimanyema wapo Mikocheni-Dar.
Yeye alishatengwa siku nyingi. Ila maisha na Manyema wake yanasonga.

ndo mtoa mada alivyosema, kama ikitokea anategwa..msome mtoa mada
 
sio hamna kabisa, bali ni wachache sana........
kwanza ukiolewa na mhindi jiandae kuabudu sanamu....
 
ndo mtoa mada alivyosema, kama ikitokea anategwa..msome mtoa mada
Nimemuelewa vyema na kama upo makini jibu langu limeegemea kwenye hoja yake kwamba hajawahi kumuona Mtanzania ameolewa au kuoa Mhindi-Nathibitisha kuwa yupo na sitaki kuamini kuwa ni hawa tu.
 
Riwa naomba unisaidie jina pale muhimbili kuna Dr Mtanzania mweusi amemuoa Dr mwanamke ni Muhindi pure. Siwakumbuki majina ila niliwafahamu nyumbani kwa Dr Kabote kulikuwa party miaka takriban 10 iliyopita.

ni dr gami muhimbili ana mke muhindi..? maana na mimi nlikua muhimbili kwa miaka mingi na sijatoka mda mrefu sana maana sijawahi kumuona

Sioni kama ni sahihi kutaja majina ya watu kwa mambo binafsi kama 'intermarriage'...lakini yupo Daktari mTanzania mweusi ameoa mHindi, alimaliza Muhimbili miaka ya mwanzoni mwa 2000, na bado wako ndoani mpaka sasa!
 
Wadau habari zenu.

Binafsi toka nizaliwe na kukua hadi sasa sijawahi kusikia muhindi [indian] ameoana na Mtanzania yoyote.

Nilijaribu kuchunguza ni kwa nini? Jibu nilipata ni kuwa hawa watu ni wabaguzi sana mfano mzuri ni wao kwa wao inasemekana mhindi mwenye rangi nyeupe kuoana na mhindi wa rangi nyeusi si rahisi na ni kwa nadra sana.

2. Kuna rafiki yangu anasoma india ana mahusiano na binti wa kihindi na lengo lake ni amuoe, mimi nilimpa precaution kuwa kama anataka kuwa marehemu mtarajiwa atakaye jua chanzo cha kifo chake ajaribu kufanya hivyo.

3. Nimekaa mtaa wa fire/upanga maeneo yale kuna wahindi na waarabu wengi mara kwa mara nilikuwa nikiwaona wakiwa na uhusiano wa kimapenzi na dada zetu wa kitanzania but wao wakisikia una date na dada zao unatishiwa amani sana au huyo anaye date nawe kutengwa na familia yake.

Nawaomba wadada msiwashobokee sana hawa watu, hawa sio watu kabisa.

watu kwa ujuaji bana, ni wapi ulishaona binti wa kiindi kaoleawa na mbongo, tuache ujuaji , mtoa uzi yupo sahihi kabiasa

_66472261_sambo_davis_wife_sheeba2.jpg
sambo_wife_sheeba.jpg
 
Nimemuelewa vyema na kama upo makini jibu langu limeegemea kwenye hoja yake kwamba hajawahi kumuona Mtanzania ameolewa au kuoa Mhindi-Nathibitisha kuwa yupo na sitaki kuamini kuwa ni hawa tu.

20131113101130210734_20.jpg
 
Sioni kama ni sahihi kutaja majina ya watu kwa mambo binafsi kama 'intermarriage'...lakini yupo Daktari mTanzania mweusi ameoa mHindi, alimaliza Muhimbili miaka ya mwanzoni mwa 2000, na bado wako ndoani mpaka sasa!

Kweli umeiva katika ethics na nina hakika hao unaowajuwa wewe ndio mimi nawajuwa pia na walikuwa wanakaa flat za muhimbili sijui kwa sasa kama walihama au lah! Ila upo sahihi kabisa.
 
Sio wao tu hata mimi siwez olewa na muhindi
 
Back
Top Bottom