Mchumba Mwema namtafuta jamani

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa jf nzima kwa namna inavyosaidia kubadilisha maisha yetu, jf ilinisaidia kupata kazi enzi hizo nimemaliza chuo kikuu.

Baada ya shukrani naomba mdada mzuri anayeishi Dar ambaye yupo tayari kufanya maisha na mimi awasiliane na mimi kupitia 0654 531 647. Sina utajiri mkumbwa ila na ka gari walau daladala tutaziepuka na ka nyumba kigamboni.

Asanteni sana

Updates....

Hali bado haijakaa sawa, wadada hamjitokezi mmekimbilia wapi niwafuate hukohuko?
 
Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa jf nzima kwa namna inavyosaidia kubadilisha maisha yetu, jf ilinisaidia kupata kazi enzi hizo nimemaliza chuo kikuu.

Baada ya shukrani naomba mdada mzuri anayeishi Dar ambaye yupo tayari kufanya maisha na mimi awasiliane na mimi kupitia 0654 531 647. Sina utajiri mkumbwa ila na ka gari walau daladala tutaziepuka na ka nyumba kigamboni.

Asanteni sana

lakini kumbuka mapenzi na hatimaye ndoa ni zaidi ya hivyo vitu.kuna ambao walianza maisha wakila mlo mmoja na kuishi chumba kimoja uswazi leo wako vizuri mno na kuna ambao walianza maisha ya ndoa wakiwa kwenye level kama yako leo hawana hata kiwanja kila kitu kimepukutika Mwombe sana atakusadia
 
Mtaani,kazini,kanisani o msikitini hujampata??humu usiyemuona ndo unamtongoza....maajabu haya
 
Last edited by a moderator:
jamani sio kama nadharau au laa; ila mtu atafutaye mpenzi humu huwa simuelewi????
hasahasa awe mwanaume.
 
jamani sio kama nadharau au laa; ila mtu atafutaye mpenzi humu huwa simuelewi????
hasahasa awe mwanaume.

Remote kuna watu wanafikiri kuwa wanajf ni watu maalum ambao hawaishi huko mitaani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom