mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,694
Leo natoa darasa kwa wanawake waliokata tamaa kuolewa au wamefikia rika la kuolewa lakini hakuna mtu aliye wahi kutaka hata kuonyesha nia ya kukuoa.
Dada haujachelewa cha muhimu kubali matokeo....Uyo unaona ndio anastahili kukuoa mbona hakufuati? wengi wameponzwa na kuchagua sana matokeo yake wamezeeka wakisubiri the right man mwisho wanadoda.
kama ulifikiri wewe ni wa class fulani,basi baada ya kunisoma hapa kubali matokeo,zoa yoyote atakayekuja mbele yako kabla haujachelewa as long as utapata kustilika kama mwanamke wa heshima...Siku zote anayepata ujasiri wa kukufata ndio anayeona mnaendana so ndio type yako...sio unajishaua ooh mie nimpeleke wapi yule? sasa type yako mbona hawana time na wewe na hawajui kwanza kama una exist
kwa mwenye swali please!