Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

for ladies only... am just sharing. its not a law 7 Things Men Really Really Want In A Relationship
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msianze mara ooh ni dhambi, ni makosa, najua na imeshatokea, nachotaka ushauri wa nini cha kufanya. Mie nimeolewa na nina watoto 3, maisha yangu na mume alhamndulilah yanasonga kama kawaida na...
3 Reactions
229 Replies
18K Views
Baada ya kunizungusha sana binti leo amekubali tukutane saa 10 kwa mazungumzo. Niongezeeni maujanja nimchukue huyu kigoli
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Huyu mwanamke tulipendana nae miaka ka mitatu iliyopita, yeye ndo alini approach na mimi nikawa nimemkubalia coz nilikuwa nampenda. Tuliahidiana tusifanye zinaa mpaka tukimaliza shule but baada...
11 Reactions
233 Replies
27K Views
Habarini kwanza, naombeni ushauri kwa hili. Nina watoto 2 nimeishi na mwenazngu kwa miaka 5 ila bado hatujafunga ndoa mwenzangu ameanza tabia za ajabu ambazo hapo kabla sikuwahi kuzijua kabisa...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Mapenzi ya kweli ni kuvumiliana mkielewa ni vigumu watu wawili kuwa na idealogy sawa mtatofautiana tu, huo utofauti uvumilie kwa mwenzako ilihali ukielewa kuna vitu vingi na yeye anakuvumilia...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Nitaingia Mwanza muda si mrefu. Nitakwepo hapo mpaka Jumatatu ya wiki ijayo, halafu Jumanne nitaelekea Musoma, nitarudi Mwanza kesho yake na kukimbia fast kurudi Dar. Nataka kuonana na mtu...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Kuna tabia ni ya siku nyingi ila inazidi kuongezeka kutokana na ongezeko la magari ya watu binafsi. Yaani mnapaki gari kando ya barabara, vioo vinafungwa, ukipita unaona gari linanesa nesa hapo...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Binti kuanzia miaka 20 kuendelea anayetaka kuingia katika mahusiano ani pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu. Msichana aliyesiliazi, mkristo. Age 27 aliyepo single elimu form 4-bachelor. Askari na manesi siwataki...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Heri na baraka ziwe nanyi. Ushauri, mawazo, michango yenu itanisaidia sana. Ni binti aliyenipenda sana nakumbuka alivyoniambia kwavile alivyonipenda hakuwa tayari kuniona mimi natangulia kufa...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Hi! naitwa Jaffery Adam, ninaumri wa miaka 21. Natafuta rafiki wa kike, awe na miaka 19-23 awe mwembamba kiasi. hatakama hana kazi, awe na upendo wa kweli. ukiwa tayari unanipata kwenye no...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo; Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarin wandugu Mimi nilikuwa na mpenzi wangu kipindi niko shule ila tuliachana baadae akaja kuwa na ukaribu ambao ulionekana kurudisha penzi letu. Cha ajabu ni kuwa juzi kati kanitumia ujumbe...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari kwenu, Baada ya kuvumilia sana bila kufanya ngono hadi miaka 28, nikiwa chuo kikuu niliona ndio muda muafaka wa kulionja tunda, nilimtafuta msichana ambaye niliona anafaa kuwa mke kwa...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Jamani hata mimi nahitaji mwanamke wa kuoa niliyokuwa naye alikuwa matumizi ya hapa na pale kama burudani. Nipo serious na hii ishu ya kuoa maana nimechoka kuibaiba visivyo halali. SIFA ZA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Hivi inakuwaje mtu anaweza kuwa na kinyongo hadi kushindwa kusamehe?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mapinduzii Daimaaaa Hebu tusemezane kidogo bandugu maana vilio vya usaliti kwa walio katika mahusiano na hapa siwaongelei wana ndoa hawahusiki na mada hii bali nawalenga wazinzi wenzangu naona...
15 Reactions
171 Replies
14K Views
NIAJE aisee, wanasemaje waungwana hapo, pole kwa starehe za hapa na pale, wape hi ‘kakaz' na ‘dadaz', waambie tupo pamoja kama kawaida, kama vipi ‘nitawaibukia' kimtindo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Amani kwenu, mimi niko mbali na familia yangu kikazi. One week ago, nilimpigia simu mke wangu zaidi ya mara 90 ndani ya masaa 12, bila kupokea, mwishoni akapokea bila kuongea, from the...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom