MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Huyu mwanamke tulipendana nae miaka ka mitatu iliyopita, yeye ndo alini approach na mimi nikawa nimemkubalia coz nilikuwa nampenda.
Tuliahidiana tusifanye zinaa mpaka tukimaliza shule but baada ya kumaliza shule amenilaghai na kufanikiwa ku do na mimi.
But tangu apate alichokitaka amekuwa ni mtu wa kiburi kwangu and week iliyopita ndo kaniambia ukweli kuwa tuachane hataki kuendelea kuwa na mimi.
Roho inaniuma sana jamani sababu kwa huyu mwanamke kanichezea sana na kuniharibia ujana wangu.
Msaada wa ushauri nifanyaje kulipa kisasi kwa huyu mwanamke.