Nataka anipe ukweli, niweze kutoa maamuzi

KWESHAFI

Senior Member
Jul 24, 2014
102
50
Amani kwenu, mimi niko mbali na familia yangu kikazi.

One week ago, nilimpigia simu mke wangu zaidi ya mara 90 ndani ya masaa 12, bila kupokea, mwishoni akapokea bila kuongea, from the nikaendelea na business.

Jana ndo anabip, nataka anipe ukweli unless NARUDISHA KWAO.

Ushauri please
 
Mkuu msikilize kwanza tuliza presha halafu akikupa maelezo uyachambue vizuri kama yana mantiki
 
pole bwana KWESHAFI
mkuu usipanic...tuliza kichwa na umpe muda wa kujieleza. Huwezi kujua labda simu ilipata tatizo au alikua na tatizo. Halafu jiepushe na mawazo HASI katika mahusiano yako.....
 
Last edited by a moderator:
Wanaume bwana,hahaa wengine wakubwa akili zao kama watoto,
 
pole bwana KWESHAFI
mkuu usipanic...tuliza kichwa na umpe muda wa kujieleza. Huwezi kujua labda simu ilipata tatizo au alikua na tatizo. Halafu jiepushe na mawazo HASI katika mahusiano yako.....

mahusiano ya siku hizi hakuna uaminifu.....ndo mana mtu asipopatikana mtu anawaza tu HASI kuwa huyu anachepuka.....uwa hatuwazi vitu vingine ambavyo vinaweza kumfanya mtu asipokee simu......
 
Last edited by a moderator:
Yaani mtu kutokupokea simu tu hapo tayari yupo na mwanaume mwingine,
wanaume mnapaswa mjue kuna wakati tunahitaji muda wa peke yetu,
si ajabu huyu jamaa kuna kitu alimkera mkewe,
mkewe akaona isiwwe tabu wacha anyamaze pengine angepokea simu wala wasingeelewana,
pengine alikua busy na majukumu na akachoka,
pengine kuna jambo amelisikia juu ya mwanaume bado anafikiria namna ya kumwambia,
na amechagua kuwa kimya kwanza,

maswali ni mengi ila mwenye jibu kamili ni huyo mkeo,
wasiliana nae hata kwa meseji ili upunguze hasira za kujibizana.
Kuibiwa inauma sana kwa wanaume,mwanaume akitendwa anakimbilia kuvunja mahusiano ILS mwanamke akitendwa anaweza kusamehe au kuvuta subira
 
mahusiano ya siku hizi hakuna uaminifu.....ndo mana mtu asipopatikana mtu anawaza tu HASI
Salama mkuu sister ??

kitu cha kwanza angetakiwa awaze ''MKE WANGU ANATATIZO GANI?" yaani imuume na apige simu hata kwa jirani ili ajuzwe tatizo ili aweze kumsaidia, sasa huyu mkuu yeye simu mara 90 hata hashtuki na kujali yeye anawaza kuibiwa tu....kwanini hakuwaza labda anaumwa?? kwanini awaze kuchepukiwa tu? namashaka na mwenendo wa huyu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
90 times in 12 hours? Aisee pole..
Manake kila baada ya dk 8 ulikuwa ukimpigia..!

Tuliza akili, lazima kutakuwa na sababu. Sidhani kama yeye kutojibu au kupokea simu ni jumuisho kuwa alikuwa akitenda mambo mabaya. Tuliza akili na subiri mkiongea atakupa ukweli...then utanpima.
 
Yaani mtu kutokupokea simu tu hapo tayari yupo na mwanaume mwingine,
wanaume mnapaswa mjue kuna wakati tunahitaji muda wa peke yetu,
si ajabu huyu jamaa kuna kitu alimkera mkewe,
mkewe akaona isiwwe tabu wacha anyamaze pengine angepokea simu wala wasingeelewana,
pengine alikua busy na majukumu na akachoka,
pengine kuna jambo amelisikia juu ya mwanaume bado anafikiria namna ya kumwambia,
na amechagua kuwa kimya kwanza,

maswali ni mengi ila mwenye jibu kamili ni huyo mkeo,
wasiliana nae hata kwa meseji ili upunguze hasira za kujibizana.
Mapenzi yaache tu yalivyo unahisi unaibiwa na ukachanganyikiwa wakati mwenzako yupo tu na ni kitu kidogo,hats hiyo miss calls 90 unaweza kukuta kazifululiza ndani ya nusu saa
 
Unamaanisha nn labda kusema hivyo,itakuwa n wale wale,mm nahassle sna hku nilko,nmemjengea nyumba ameondokna na adha ya kupanga lkn bado haniheshimu,this time i must be beyond a radical,
 
Hao wake zenu ni parcel mnarudisha tu kwao unavyojisikia? Halafu akigoma kurudi kwako utakuja na uzi????

Kwa nini umfikirie mabaya?
Kwa nini usiwe na hofu labda mkeo mgonjwa, kazimia, yupo hospital? Alikuwa na dharula?
Simu mbovu?

Wewe unawaza kuchapiwa tu???????

Kwa nini usicalm down na ukatafuta muda muafaka umpigie muongee?

What if alipatwa na mshtuko fulani akahitaji muda a-digest kwanza?????

Hao wake zenu ni b8nadamu pia wana damu na nyama kama nyie

Aman kwenu,mm niko mbali na familia yng kikaz,1 week ago,nilimpigia cmu mke wng zaid ya mara 90 ndan ya masaa 12,bila kupokea,mwishon akapkea bla kuongea,frm thre nkaendlea na ma bussness,jana ndo anabp,nataka anpe ukwl unless NARUDISHA KWAO,ushauri please
 
Tatizo ni kwamba wewe tayari una "ukweli" wako un aotaka akupe...
Msikilize kwanza
 
Aman kwenu,mm niko mbali na familia yng kikaz,1 week ago,nilimpigia cmu mke wng zaid ya mara 90 ndan ya masaa 12,bila kupokea,mwishon akapkea bla kuongea,frm thre nkaendlea na ma bussness,jana ndo anabp,nataka anpe ukwl unless NARUDISHA KWAO,ushauri please

Inawezekana mwenye anakushangaa wiki nzima mbona humuachi?
 
Ningekuwa mimi kitu cha kwanza ningefikiria mke wangu kapata ajari. Ningeanza kulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom