Wanaume tukumbuke unapopata mpenzi mpya kumbuka umevunja mahusiano ya mwingine

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,608
93,405
Mapinduzii Daimaaaa

Hebu tusemezane kidogo bandugu maana vilio vya usaliti kwa walio katika mahusiano na hapa siwaongelei wana ndoa hawahusiki na mada hii bali nawalenga wazinzi wenzangu naona vinaongezeka kila kukicha.

Formula ni hii iko very simple n clear, umemkuta demu anapendeza siyo bikra umemshushia mistari yenye vina akakuelewa mkaanzisha mahusiano hivi sisi wanaume huwa tunafikiria nini hasa?

Ukweli ni kwamba ni wanawake wachache sana ndio wanakuwa hawapo katika mahusiano kwahiyo Mwanaume kumbuka unapofanya mapinduzi kuna mwanaume mwenzako naye bila wewe kujuwa unamuacha katika mateso makubwa sana ya kuachwa.

Karma is a bitch mwenzio akinyolewa zako tia maji kabisa saa yako yaja

Kwenye kipindi hiki wengi wanaokuwa safe ni wale wanaopinduwa tawala zilizopo na baada ya kipindi si kirefu wanafunga ndoa otherwise wanawake pia wakigunduwa makosa yao urudi kwa mtu wake wa zamani (zimwi likujualo)

Otherwise kwa style hizi za uchumba sugu tangu Mkapa akiwa Rais mpaka leo Jk ndio anaaga wewe mwanaume husomeki ni lazima akitokea mwanaume serious unaphgwa chini.

N:b, wale wanaume wanaojipa majukumu ya kumgharamia mwanafunzi kana kwamba wao ndio wazazi ni kiherehere chako mwenyewe.

Ukiachwa jidedicate mwenyewe jisong la Lady Jaydee.

Hivi sasa waweza kwenda, uwe wangu usiwe wangu yote ni sawa.


 
Ndio maana tunawamega na kuwaacha maana tukiwahudumia mnatuona viherehere
 
Safi sana mtoa mada. Ukweli mwanaume anapo achwa kuna vitu kadhaa vinakuwa avikuwa sawa. Ujue mwanamke ukimpenda sana na kumfuatilia kila nyendo au uwe unakagua simu zake lazima akupige chini halafu utajiuliza maswali bila kupata majawabu. Mwanamke the best thing make sure yeye ndiye anayeteseka kwako. Mpe uhuru wa kutosha, usiwe unawasiliana naye mara kwa mara, wewe fanya kweli pale penye jukumu lako hasa mpe heavy sex. Pia yatupasa kujifunza, sio kila mahusiano lazima yaishie na ndoa.
 
Bora kwa wanaotoka familia maskini lakini wengine washuwa wanacover kila kitu bado janaume lingine nalo linakuja kujilipuwa, demu akimaliza chuo anataka sasa awe na mwanaume anayemeet quality zake ndipo kilio uanza.
si unajua hela siku zote huwa haitoshi...
dah vijana nao kumbe wanajilipuaga mi najua vidingi tu ndo huwa vinalipa ada!!!
kudadadeki mbarikiwe vijana walipa ada mtalipwa tu kwa wema wenu ole wao mabinti wanaokula kona wakati mmewawezesha amen.
 
Back
Top Bottom