Okoeni familia yetu

Okoeni familia yetu

rainy forest

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
91
Reaction score
41
Habari zenu wanajamvi.

Hivi inakuwaje mtu anaweza kuwa na kinyongo hadi kushindwa kusamehe?
 
Mkuu kwanza pole kwa kuuguliwa,...
Pili hongera kwa kufanya juhudi kubwa za kusaidia afya ya mama yako...
Tatu kwa sasa endelea na juhudi za kushughulikia afya ya mama...
Nne shukuru Mungu kwa kukupatia ndugu, akiwemo huyo dada yako...
Tano tambua kuwa kila binadamu kaumbiwa kasoro zake... hata wewe...
Sita muombe Mungu akusaidie uvumilivu wa mapungufu ya wengine,...
Saba, tambua kuwa dada yako hiyo ni tabia yake kaumbiwa na Mungu... mshukuru Mungu
Nane, mama yupo kwenye stress ya maumivu, naamini maamuzi anayofanya yanaweza kuwa na kasoro... alipona na akapata mda wa kutuliza hasira atamsamehe dada
Tisa, muache tu dada alivyo, yeye ni mtu mzima...
Kumi haina haja ya kuendelea kuelezea huu mkasa hapa... hasa kama umenielewa kwenya hayo tisa hapo juu...
 
11: thread closed

Babu yangu aliniambia, "mtu mwenye tabia yake haachi"

Kila binadamu ana mapungufu yake. Ukishayajua yakubali na mengine yaepuke....

Kuhusu uhusiano wa dada yako na mama yake, waache watasort things out wenyewe.....

Kwa sasa muuguze mama yako
 
mkuu pole sana kwa yaliyokukuta!
pili mshukuru mungu kwa kua na wazazi wawili wangali hai(ulisema mzee ana 80 yrs)
Kwa sasa cha kufanya endelea kuangalia afya ya mama kwa ukaribu zaidi mpaka hali yake iwe ya kuridhisha/apone.

khs huyo dada yako, napata wasiwasi pengine yeye na mama wana jambo lipo nyuma ya pazia! inawezekana ni kuhusu baba yake mzaz, pengine mama hakumweleza ukweli kwamba baba yako sio baba yake au kunaweza kua na jambo lingine.
USHAURI.
jaribu kutafuta suluhisho ikishindikana mhusishe ndugu wenu wa karibu katika familia! usiegemee upande wa mama au wa dada, mwisho utafanikiwa!
Best of lucky
 
Naamini utalkubaliana na mimi kwamba watoto wa kike wana shida sana kwenye kuwapenda mama zao.
Yaani hata kama ndo saikolojia inatuambia kwamba watoto wa kike hupenda sana baba zao lakin huku nje field hii hali imezidi.
Najiuliza kwanini sipati jibu
 
Ndio sote tunajua kwamba kuna tatizo kati ya yake na mama juu ya baba yake mzazi ambaye pia inajulikana kwamba huyu baba alimkana toka siku alipovuta hewa ya dunian.

Lakin je waona ni sababu ya yeye kumuekea mama kinyogo miaka nenda rudi?
 
Hapa siwezi kusema lolote aisee...

Maana mie ni Ke halafu mama yangu nampenda mnoooooo, she is the apple of my eye....

Naamini utalkubaliana na mimi kwamba watoto wa kike wana shida sana kwenye kuwapenda mama zao.
Yaani hata kama ndo saikolojia inatuambia kwamba watoto wa kike hupenda sana baba zao lakin huku nje field hii hali imezidi.
Najiuliza kwanini sipati jibu
 
Hapa siwezi kusema lolote aisee...

Maana mie ni Ke halafu mama yangu nampenda mnoooooo, she is the apple of my eye....

Hongera sana.
mie najionea hali mbaya sana, mpaka natamani ningezaliwa familia nyingine kwa hali ilivyo
 
usijali ngoja nikupe mfano mm kwetu tupo 4 kila mtu na tabia yake tena bora huyo dada yako ,zaid elewa tu ni tabia ya mtu tu,vilevile ww achana na hizo mambo kuwa busy jifanye huelewi chochote muuguze mama tu,mradi ushampa taarifa ya ugongwa huyo dada yako anapepo la kukataliwa hivyo basi anataka maamuzi anayotaka yy ndio muyafate mkikata eti kisa mtoto haram anasusa na kuanza kugombanisha ,sis kwetu tumeshare mama lkn kaka yetu wa kwanza hana tofauti na dada yako hivyo kwa kuwa tunamuelewa tabia yake yaan tunapotezea kama hatuoni mwsho wa siku anajiona mjinga anamuona kabisa anavyohangaika kujiweka sawa dawa yake achana nae hakufai ww muuguze mama na endelae kuomba mungu aingilie kati mpate sululul muishi kwa upendo amina
 
Tuko hii sredi ilikuwa ni ndefu na mleta mada kaihariri baada ya kuelewa points zako au ndio ipo hivi tangu awali?
 
Last edited by a moderator:
mmmhh napita mnajuana....

Back
Top Bottom