Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

My girlfriend hangs out, drinks too much My girlfriend's behavior is frustrating. She likes hanging out with her friends and she's told me off that she finds nothing wrong with it. What is most...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari za weekend wadau wa jukwaa hili... Kuna dada mmoja alikuwa anatusimulia baadhi ya maisha yake ya ndoa. Moja kati ya mambo yaliyonigusa ni hili... "Sitaki kuamini kama nilipitishwa...
10 Reactions
172 Replies
18K Views
Sina nia mbaya ya kuwashambulia wanawake, bali najaribu kukumbusha majukumu ya kila mmoja ndani ya uhusiano huku watu wakitakiwa kufahamu nini maana ya ndoa. Mada hii italenga ukweli, umuhimu na...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio...
3 Reactions
97 Replies
14K Views
Chukulia unaangalia picha iliyo chorwa may be na msanii wa kuchora picha, amechora picha ya namna hii. Msichana yupo kwenye mto, yupo pale na mpenzi wake wa kiume wanapendana. Kisha msichana...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Ki kweli napenda uwe na furaha, sitaki kukuumiza na wala sipend ukasirike. Tafadhali nisubiri nimalize shughuli zangu, nipe walau miaka miwili nami nitakuwa tayari kuwa na wewe. Ukiwa nami kwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Monrovia, Liberia "Natangaza hali ya hatari , nchi yetu imekumbwa na balaa kubwa. Sote tutakuwa mashahidi wa jinsi ndugu zetu wa karibu, familia zetu , watu tunaowapenda na majirani zetu...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Kutana na kijana anayependa wanawake wanene hapa. Uwezo wa kumtosheleza ninao. Nitafute hapa 0757191544 Nipo DSM.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hi wana MMU Nimeileta hii kitu tujadili, wanawake siku hizi wanataka mwanaume mwenye hela/uwezo fulani ili wachune na kula ujana wao vizuri (sio wote) ila jicho la tatu je wanaume wenye hela...
11 Reactions
234 Replies
22K Views
Nahitaji mwanamke wa makamu, (40-/40+), mwenye upweke, aliyeko tayari aingie pm aniachie namba. Kama ni mjane au umeachika itakuwa poa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF? Hiyo ni kauli ambayo nimewahi kuambiwa na dada/mama wa makamo 40's years. Dada huyu tulitokea juana wakati anasoma Postgraduate Diploma chuo kimoja hapa mjini. Pia shirika...
4 Reactions
177 Replies
26K Views
Uelewa wangu ni kwamba hata tufanye vipi au tuchukue masomo hadi PHD kusoma ama kuelewa your opposite sex, ni vigumu saana kwa wanawake kuelewa akili na mawazo ya kaka zetu zaidi ya njia ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa kweli inanikera sana wewe mbaba mtu mzima au wewe kaka unatembea na mwanafunzi tena wa Secondary, bora wa chuo ni mtu mzima. Halafu wewe wewe hupendi / unaumia mwanaume mwingine atembee na...
5 Reactions
73 Replies
10K Views
UKWELI JUU YA UKUBWA WA UUME Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani...
4 Reactions
100 Replies
22K Views
Habari wapendanao. Nimekuwa najiuliza maswa kuna watu wanasema "mi nikinywa Amarula au Redds au Whisky nakuwa na hamu hatari" ila sasa kinachofuata inakuwa kama boyfriend wake au girlfriend wako...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa. Mimi nina somo kwa wanaume, hivi usafi wa nguo ya ndani kila siku ni kwa mwanamke peke yake au? Kiroja cha mwaka mwanamme mzima anasema kutokana na maumbile yetu sisi...
4 Reactions
97 Replies
10K Views
Niliingia katika mahusiano na dada mmoja mwishoni mwa November 2013 Baada ya yeye kumaliza kidato cha nne, tulipendana sana naye alitokea kunipenda. Mwanzoni mwa mwezi wa 6 nikaamua kuachana naye...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Wadau nilipata safari ya wiki 3 hivi nikiwa safarini kuna rafiki yangu alikuwa anambembeleza mke wangu amnunulie pombe na amefanya hivyo zaidi ya mara tano kwa nyakati tofauti cha ajabu binafsi...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Colour;moderate(black) Height;173cm Education;BedPsy. Religion;Islam mass;58kg age; 27yrs Sex; male location; Mwanza, hizo ndo sifa zangu,nyongeza ya muonekano wangu ni smartness na...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Jump media player Media player help Out of media player. Press enter to return or tab to continue. Tahadhari kwa wanaume Kenya Saa 3 zilizopita Tahadhari kwa wanaume wanaowatelekeza watoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom