Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Msianze mara ooh ni dhambi, ni makosa, najua na imeshatokea, nachotaka ushauri wa nini cha kufanya.

Mie nimeolewa na nina watoto 3, maisha yangu na mume alhamndulilah yanasonga kama kawaida na afya ya ndoa yetu si mbaya, huu ni mwaka wa 9 wa ndoa yetu.

Januari nilenda mahali kikazi, na kupokelewa na kijana, si mzuri wa sura na kikazi namzidi rank mbali tu, japo kutokana na nilichotakiwa kufanya ilibidi niwe nae kwa ukaribu.
Nilikaa kwa wiki moja.

Ebwana, sijui imekuwaje hadi ilipofika March tulisha-du na mie nshapata na ujauzito wake na kutoa.

Kinachonisumbua ni jinsi ninavyojisikia kwa mume wangu, naona kama ananibaka, sitaki aniguse, nakuwa mkali 24/7 kwake, nahisi kama namcheat kibuzi wangu mpendwa.

Ila sasa kinachonipasua kichwa zaidi kibuzi ana mke na ameanza kujisikia hivi kama kaniweka mkononi.

Naona napoteza ndoa yangu nikiwa najiona, nimeshajaribu kumuacha mara mbili najikuta nampigia kumwambia hapana, sijawa tayari kumwacha.

Nisaidieni.
Wale wasafi wa matendo wanaotokaga povu, kemeeni kimya kimya, hapa nataka mawazo ya kunusuru ndoa(Rehab ya Ndoa)
 
Nisaidieni . . .
Wale wasafi wa matendo wanaotokaga povu, kemeeni kimya kimya, hapa nataka mawazo ya kunusuru ndoa(Rehab ya Ndoa)

ha ha ha nacheka japo c mazuri hapo kwenye red umenichekesha kwakweli ha ha ha ha haaa
 
Maintain you cool Kongosho, kula kote kote, mpe baba watoto haki yake

na huyo kijana endelea kubanjuka nae huku ukitafuta namna ya kujinasua!
 
Last edited by a moderator:
kiukweli itachukuwa muda sana wewe kumsahau ila njia rahisi ni wewe kutulia na mume wako na jitahidi sana ikiwezekana badili namba ya simu na uhakikishe muda mwingi unasipendi na mume wako katika kupanga mchakato wa maendeleo na pia hata kwenye mahusiano ninajua ile mimba uliyotoa ndio inayokuchanganya ila jitahidi kuwa karibu sana na mume wako
 
Hii hadithi umeitoa kwenye kitabu au gazeti gani!!??.....i hope uhusiki na mkasa huu.
 
Kongosho, kama upo serious naomba uni-PM. Ushauri wangu kwa mambo ya namna hii si wa kuuweka hadharani!
 
Nadhani busara itawale sana,ndoa yako lazima uendelee kui-repair halafu huku kwa jamaa pia endelea. Nafsi yako kwasasa imefika Chalinze halafu unataka kwenda Morogoro na Tanga kwa wkt mmoja,ndiyo maana nasema busara itawale pia usiwaache. Unajua mtu akijua una house yako akaridhia mahusiano basi yanakuwa namna hiyo. Ni mtazamo tu msijenge...
 
Kongosho, kama upo serious naomba uni-PM. Ushauri wangu kwa mambo ya namna hii si wa kuuweka hadharani!
Na wewe labda huna cha kufanya, kuna Mwanamke mjanja kama Kongosho apate Mimba bila yeye mwenyewe kupanga? hapa anasherehesha tu.
 
Nitajaribu futa namba zake.
Japo nawasiliana naye kikazi mara chache.

Delete contact zake badili namba ya simu ikiwa yeye pia anakusumbua saa nyingine. Spend more time na mume wako ikiwa mtafanya safai ya another honeymoon itasaidia kurudisha ukaribu wenu.

Zaidi omba mungu umsahau.
 
Ndege mjanja nimenaswa na tundu bovu.

Na kiukweli, huyu buzi hamfikii mme wangu kwa status wala pesa, ila sasa ana ujentroman unaoniacha hoi, afu na ile shughuli mie hoi.

Kweli waume zetu wanatupunja sana, ndo mama mzima naumbuka kwa penzi la kibuzi kichovu tu.

Na wewe labda huna cha kufanya, kuna Mwanamke mjanja kama Kongosho apate Mimba bila yeye mwenyewe kupanga? hapa anasherehesha tu.
 
Kama nia ilikuwa ni kunichekesha basi umefanikiwa sana
OTIS
 
Back
Top Bottom