Mapenzi ya kweli ni kuvumiliana mkielewa ni vigumu watu wawili kuwa na idealogy sawa mtatofautiana tu, huo utofauti uvumilie kwa mwenzako ilihali ukielewa kuna vitu vingi na yeye anakuvumilia.
Nini mwanamke anahitaji katika mapenzi
1. Kuthaminiwa na kupendwa.
2. Umjali kwa vitu vidogo vidogo, mwanaume elewa kuwa mwanamke haitaji gharama kubwa kukutambua kama mpenzi unayemjali; Ukitoka kazini pitia hata Pochi ya 10,000/= tu, au kila baada ya mwezi nunua Chupi za 50,000/= tu ni silaha tosha kwa mkeo au mpenzio. Usisubiri mpaka vitu hivyo vidogo vidogo avifanye mwanaume mwingine.....UMEKWISHA.
3. Outing, si lazima mwende Escape one, Double Tree, hata mkitoka nyumba mkaenda uwanjani pamoja kuangalia mechi kati ya Yanga na Azam inatosha kwa mwanamke, au mtoke nyumbani mwende kuangalia movies Mlimani city au Quality center, inatosha kama utafanya walau mara moja kwa mwezi.
4. Mwambie amependeza, kwa kifupi mwanaume jifunze kumsifia mkeo/mpenzio; hata mnavyofanya sex mwambie umejisikia raha na umeridhika.
Kwa hayo hapo ni ngumu mwanamke kukusaliti/kutoka nje ya ndoa hata siku moja.
Nini mwanaume anahitaji kufanyiwa:
1. Kubembelezwa kama mtoto, ashikwe shikwe ndefu, afanyiwe massage. si lazima kila siku, ila angalau mara moja kwa week.
2. Mwanamke thamini kazi anazofanya mumeo, tambua akili yake huwa inachoka kufikiria famili na majumu ya kazini; akifika nyumbani mkarimu vizuri.
3. Ukiwa kitandani jitume, onyesha una-enjoy, la msingi msaidie katika kukurahisishia wewe mwanamke kufika kileleni.
4. Kuwa msafi wewe mwanamke, msafi ndani mpaka nje! kama inawezekana oga hata mara nne kwa siku; Hakikisha mwanamume wako hakutani na harufu yoyote ile.
Kwa kufanya hayo hautamsikia mwanamume anatoka nje na kukusaliti.
Asanteni wandugu