Gesti kuhamia kwenye magari na maofisini

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Kuna tabia ni ya siku nyingi ila inazidi kuongezeka kutokana na ongezeko la magari ya watu binafsi.

Yaani mnapaki gari kando ya barabara, vioo vinafungwa, ukipita unaona gari linanesa nesa hapo utajua kuna shughuli inaendelea huko ndani.

Mchana kweupe, wengine hadi kwenye parking.

Tuje maofisini. Hasa kwa madaktari!

Mwanamke unaenda kujiachia ofisini kwa daktari huku kuna wagonjwa wanasubiri huduma nje?

Aibuuu.

Mie siikubali hii ila mbona hiyo ilikuwepo miaka yote? Na sio hapo nyumbani tu. Angalia vitu viwili: Magari mengi ya Kimarekani kiti cha mbele ni sofa moja ndefu. Pili, ma secretary wengi wanachaguliwa na bosi....
 
ila sasahv wamezidi! Ivi mabosi wooote ni wahuni?
 
No sio wote. Ila unajua tena in most cases unakuwa na secretary muda mwingi kuliko hata wife (ukitoa muda wa usingizi) hivyo unaweza pata ulegevu.
 
ukute wewe ndo bos hafu secretar ni mjanja kuliko wife' lazima uwe na nyumba ndogo
 
Kuna tabia ni ya siku nyingi ila inazidi kuongezeka kutokana na ongezeko la magari ya watu binafsi.

Yaani mnapaki gari kando ya barabara, vioo vinafungwa, ukipita unaona gari linanesa nesa hapo utajua kuna shughuli inaendelea huko ndani! Mchana kweupeeee! Wengine hadi kwenye parking!

Tuje maofisini. Hasa kwa madaktari! Mwanamke unaenda kupigwa miti ofisini kwa daktari huku kuna wagonjwa wanasubiri huduma nje! Aibuuu!

Hilo la kugegedana kwenye magari nimelisikia kwa watu wengi lakini la maofisini niliwahi kulisikia kwa mtu mmoja tu aliyewahi kufanya kitendo hicho.
 
Wake za watu na wanafunzi wanagegedwa sn kwny magari, hasa kwa wafanyakazi ile mida ya lunch na baada ya kumaliza kazi... Big up Idd Amin Dadaa mwanzilishi wa kugegedana kwny magari
 
mbasha
 
aibu gani sasa? acha tumalizwe kiu,acha tuenjoy maisha siku zenyewe zinahesabika....
 
ila sasahv wamezidi! Ivi mabosi wooote ni wahuni?

sio kwamba mabosi ni wahuni ila wanawake wa siku hizi wanataka urahisi mno kuliko kutumia akili na nguvu na juhudi zao ili kufikia malengo...
Wanapenda mno kujirengesha kwa mabosi wakidhan watapandishwa vyeo, watapata ofa za safari kikaz, na malupulupu....
Utakuta mwanamke mtu mzima na elim yake lakn anawaza k yake ndio itampatia mafanikio sasa kwann wasiinamishwe humo maofisin??
 
Wenye Guest rooms wanaringa sana, ukifika tu condom wanakuuzia buku mbili na kuendelea, short time twenty kuendelea na wanakupa maximum two hours! Sasa kama ningeweka mafuta ya twenty nikapaki gari na kuwasha kiyoyozi yangeisha kweli? Condom haizidi Mia tano, naenjoy vizuriiiiii nikimaliza nanawa vizuri kwenye maji yangu ya Kilimanjaro ninayotembea nayo kwenye gari. Hahahahahaaaaa Safi kabisa hadi raha
 
kweli wewe ni nowma!
 
Back
Top Bottom