Here are the ten taboo relationships that may cause people to raise an eyebrow. Who have you dated that his "taboo"?
1.Your boss.
It is often deemed as unprofessional but I have seen situations...
Habari wana MMU
Kwa uzoefu wangu katika suala zima la mahusiano linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa/mapenzi mwaname ndiye anayeachiwa afanye maamuzi ya kutumia kinga ama la, hili suala ni...
Za mchana wana MMU nina imani ni wazima wa afya na tumshukuru mungu kwa kutuamsha wazima.
Nitatumia majina ya kubuni ili nieleweke vizuri.
Jamani kuna thread nilianzishaga humu kuwa kuna rafiki...
Wadada wa JF mnanichukia hivyo au kwa sababu ya post zangu za kuwananga ,huwa nawatania tu maana nimepost kutafuta mke humu naona mnapita kimyakimya no like no reply no PM msinifanyie hivyo...
Tumekubaliana mimi na mke wangu kuwa; mmoja wetu akirudia kosa mara mbili, mara ya tatu aandike maelezo yakae kwenye maandishi, na tuwe na file la pamoja la barua hizo kwani ushahidi wa maandishi...
Hallow wana MMU, nahitaji msaada kwa hili linalonitokea kwa sasa.
Kuna binti niko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa saba sasa, kwakweli nampenda sana na yeye analijua hilo, tatizo lililopo sasa...
Wadau kuna binti tunafanya naye kazi tuko vitengo tofauti, sasa nilirusha ndoano cha ajabu yule binti aliniambia subiri alafu akaenda kuwaambia wenzangu kwenye kitengo changu kuwa nimemtongoza kwa...
Mimi najua kuwa kusimamia harusi ni shughuli siyo ile ya ukumbini bali shughuli yake ni siku mambo ya hao wapendanao yanapoenda kombo maana najua wasimamizi ndiyo wanakuwa watu wa mwanzo kuelezewa...
Mimi Ni Kijana Mwenye Miaka 24
Natafuta Msichana Wa Kuoa mwenye Sifa Zifuatazo.
1.Umri Ni Kuanzia Miaka 18~22,
2.Awe Na Tabia Nzuri
3.Asiwe Anapenda Sana Pesa
4.Asiwe tapeli...
Kwanza niwasalimu kwa salamu ya Upendo na Amani.
Siku hizi kumekuwa na tatizo la watu wengi kufunga ndoa huku mwanamke akiwa tayari na mimba hata ya miezi saba au sita, yaani ile honeymoon...
Kwa wale ambao wameshaona movie ile ya titanic kuna sehemu katika movie hiyo ambayo sikubaliani nayo kabisa eti unakufa kwa sababu ya mwanamke
Kwangu hamna kitu kama hicho yaani Jack anamuachia...
Heshima kwenu wote.
Kama mnavyojua wengi wetu waafrica unapofika miaka 30 wewe ushafika fainali ya ujanja ujanja.
Hapo ndio watu wanaanza kukutegemea rasmi kimawazo, kikipato na kwa mambo...
Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imepiga marufuku majina hamsini ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja na dini ambapo kuanzia sasa, wazazi kutoka falme hiyo hawataruhusiwa tena kuwapa...
Hello wana-JF miaka 30 mwanamke na 19 mwanaume inasound vp kwenye kuwa na mahusiano na hatimaye ndoa.
They are real in love.
Naombeni mawazo yenu katika hili.
Mkazi wa kiseke jijini Mwanza Amemkata Mke wake usiku akiwa amelala kwa sababu ya wivu wa mapenzi, Mume wa Mwanamke huyo aligundua kuwa mke wake ana mahusiano na mwanaume mmoja hapa kiseke, usiku...
Malezi ya mama, elimu ya mama haina ada wala cheti, ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu
Nikikumbuka zamani nilipokuwa mtoto nikilia usiku mama lazima utakesha na mimi
Huwezi kukubali niwe macho...
Salamu wana bodi natumaini ni wazima bukheir na munaendelea kulisaka tonge ili mkono uwende kinywani na watoto waendelee kukimbilia chooni. Ama baada yasalamu nawaomba kila mmoja wenu aniombee...
Juzi kati nimeamua kumtoa mke wangu out, tukaka mahala tukawa tunakunywa soda pale na ka nyama choma, tukawa tunabadilisha mawazo,akaanza kuniuliza kwa nini moyo wangu unampenda nikamjibu imetokea...
Msaada wana Jamiiforums kufahamishwa dalili za awali zinazo ashiria sio muda mpenzi/mwanamke wako anakupiga chini sio muda mrefu kwa sababu sielewi elewi zisije kuwa ndo nazo ziona mimi ila...
Anasema hataki kufanya mapenzi kabla ya ndoa lakini anakuja getto kwangu na kasketi kafupi(kimini) kifupi sana halafu anakaa ovyo naona mpaka nguo ya ndani.
Kiblauzi alichovaa vichuchu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.