Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,746
- 2,871
Kwa wale ambao wameshaona movie ile ya titanic kuna sehemu katika movie hiyo ambayo sikubaliani nayo kabisa eti unakufa kwa sababu ya mwanamke
Kwangu hamna kitu kama hicho yaani Jack anamuachia Rose boya halafu anakufa na baridi katikati ya bahari eti kwa sababu ni mrembo sasa anaona afe yeye halafu rose abaki mzima kwangu haiwezekani au mapenzi ya ROMEO NA JULIET kwangu hayapo.
Kwenye shida kila mtu ajijue kivyake halafu nashangaa wanaume ndio huwa wanaongoza wanajitolea mpaka kifo kwa ajili ya mademu zao{mfano: Adamu kula tunda kwa sababu Eva amelila huku anajua kuwa anamkosea MUNGU...}.
Lakini wanawake sijawahi kuona eti anajitolea hata afe kwa sababu amempenda mwanaume, wanaume wenye tabia za namna hiyo muache kwenye suala la uhai kila mtu afe kivakye.
Imenisikitisha sana
Kutoka kwa mwanaharakati wa mapenzi AMOKILler