Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi inakuaje mwanaume anakuja kutafuta mwanamke wa kuoa hapa Jf.Ina maana kashindwa kabisa kuwaona wanawake mitaani.Kiukweli wanawake ambao hawajaolewa na wanaohitaji kuolewa wapo wengi mno...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Miaka mitano hapo nyuma nilizaa na mwanaume ambaye alikuwa Mume Wangu , Baada ya mtoto kufika miaka 2 tuliachana kila mtu akawa na maisha yake ila si kwa talaka ni mie niliondoka kwake nikarudi...
0 Reactions
153 Replies
18K Views
Kuna kitu nime ki experience nikafikiri huwa kinanitokea mimi kumbe tuko wengi. Ukishakuwa na mwanamke kwa muda mrefu lets say from weeks or month hata kama ni mchepuko, iko siku mtatumbukiza kama...
1 Reactions
76 Replies
11K Views
Nawakilisha kutoka kwa jamaa yangu moja anaomba ushauri jamani. Girlfriend wangu kajaliwa mwaka jana lakini mwezi jana nilienda kumtembelea maana yeye anafanyia kazi Tabora na mimi nipo Mbeya...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kuna dada niliwahi kujuana naye hapa janvini anaitwa Rehema anaishi Nyasa,lakini bahati mbaya nilikuwa safarini kuelekea Tanga na mbaya zaidi nilipoteza simu na hivyo kupoteza mawasiliano naye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Linapokuja swala la usaliti wadada wengi huweza kuwasamehe wenzi wao wa kiume kiurahisi tu huku wakiamini kwamba na wao kuna uwezekano mkubwa wa wa kusamehewa na wapenzi wao wa kiume endapo swala...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ewe mahaba niue, kwake usinifufue. Siniache nipumue, pumzi uzichukue. Ewe mahaba nitwae,kwake moyoni nitue. Mahaba sinizingue, niache nijizimue. Mahaba nteketeze,niradhi kuangamia. Mahaba...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Natafuta msichana na mie kwa urafiki kwanza, na tuki click, tutaanza mapenzi. Naishi nje ya Tanzania ila ningefurahi kama wewe unaishi Tanzania, tunaweza kutembeleana nilipo au ulipo wewe. Sichagui.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najivunia kuzaliwa KILWA kwenye watu wa kwanza kutumia PESA Afrika, nyumba za kale, mapango ya asili, chanikiwiti, Bahari, visiwa, rasi, ghuba, Gesi na vijiji km Kivinje, Kikole, Kipatimu...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Ak
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa...
5 Reactions
87 Replies
11K Views
U hali gani mpendwa msomaji wa makala haya,kwa upande wangu mimi ni mzima wa afya njema,namshukuru Mungu kwa kuniwezesha katika mambo mbalimbali yanayotukumba katika dunia hii...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa uchunguzi nilioufanya kwa zaidi ya miaka mitatu, ndani ya JF, nimebaini kwamba wanawake wengi wanataka sana kuolewa lakini, tatizo kubwa linalowakwamisha, ni kwamba huenda thamani zao...
5 Reactions
232 Replies
15K Views
Mimi ni mwanaume wa kitanzania. Natafuta mchumba. Umri miaka 22-29. Umri wangu ni miaka 33. Elimu yake iwe kuanzia Diploma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wale wadau wa kudumu wa MMU hebu nisaidieni la kufanya hapo..... Ule mchepuko wangu wa kwny daladala niloulipiaga nauli halafu nikarudiahiwa na jamaa yake, c jana tulikubaliana tena...
7 Reactions
110 Replies
9K Views
Habari zenu jamani, wakubwa shikamoo. Natumai wote mko fine, ngoja niwape kisa hiki mwenzenu maana nina bahati mbaya kweli na wanaume. Kuna kaka mmoja tulisoma nae o-level, akaanza kunitongoza...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Je wajua! Wanawake wenye nyonga pana au hips,zaidi ya sentimita 36 wanakuwa na mahusiano mengi ya wanaume kuliko wale wa hips ndogo chini ya sentimita 31?Hii imeonekana katika tafiti ya...
0 Reactions
80 Replies
20K Views
Wajamani nitakufa. Siku ya alhamisi nimemfumania mpenzi wangu kwa mara ya tatu. Mara mbili nilizo mfumania nilimsamehe. Mara ya tatu nikaona isiwe tabu, mkunguru shetani afugiki. Kwa bahati...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Jamani msaada. Hivi ukiwa na mkeo tena mna watoto wawili na mwanzoni ulikuwa unamwamini sana ila sasa unakosa kumwamini kutokana na vitabia flaniflani unafanyaje? Je unaweza kumwambia live au...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamvi kuna msemo kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa wanaume wote rijali ni Polygamous au wengine wanasema ni womanizers au kwa kiswahili kizuri wanaume rijali ni wanapenda...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Back
Top Bottom