sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,486
Tumekubaliana mimi na mke wangu kuwa; mmoja wetu akirudia kosa mara mbili, mara ya tatu aandike maelezo yakae kwenye maandishi, na tuwe na file la pamoja la barua hizo kwani ushahidi wa maandishi ndio unafaa zaidi kuliko kupigana/kupigiana makelele.
Ndoa yetu ina miaka kadhaa.
Unatushaurije rafiki?
Ndoa yetu ina miaka kadhaa.
Unatushaurije rafiki?