Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Malezi ya mama, elimu ya mama haina ada wala cheti, ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu
Nikikumbuka zamani nilipokuwa mtoto nikilia usiku mama lazima utakesha na mimi
Huwezi kukubali niwe macho usiku, wewe ufumbe macho yako
Mapenzi ya maamaaa, kwa mtoto wake, haina mfano
Hata mapenzi ya boyfriend na girlfriend hayafiki hata robo
Nikikumbuka zamani nilipokuwa mtoto nikiumwa usiku lazima utakesha na mimi
Mola wasaidie, wakina mama wote, uwape maisha marefu
Nani kama maama, mama yeah mamaa yeye
Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa, mama mamayeee
Huu ni wimbo wa christian Bella, umenigusa sana wadau MMU!
TUMIA FURSA HII KUSEMA ASANTE KWA MAMA YAKO