Hivi mimi nina gundu au

Hivi mimi nina gundu au

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,322
Reaction score
56,055
Wadada wa JF mnanichukia hivyo au kwa sababu ya post zangu za kuwananga ,huwa nawatania tu maana nimepost kutafuta mke humu naona mnapita kimyakimya no like no reply no PM msinifanyie hivyo wadada niko serious jamani
 
Ukiona ivyo ujue you are not a gentleman or a man enough. Pole mshkaji
 
Back
Top Bottom