shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Heshima kwenu wote.
Kama mnavyojua wengi wetu waafrica unapofika miaka 30 wewe ushafika fainali ya ujanja ujanja.
Hapo ndio watu wanaanza kukutegemea rasmi kimawazo, kikipato na kwa mambo mengine.
Katika hii age ndoa nazo zinakupigia kelele sio kwa wanaume wala wanawake ukifika hii age ni kelele tu unaoa lini/ unaolewa lini.
Tunaikabili vipi hii age na kama mnavyojua maisha yanazidi changamoto, ajira vipato magumashi, kukutana na miss right/ mr right nayo changamoto kwa wengi, plus mambo kibao.
Ni vizuri tujadiliane hii ishu na ikiwezekana weekend tutafute hata sehemu vijana wote humu tukutane for drinks na story za hapa na pale tuongee hii ishu.( huku tukiomba Mtambuzi au gfsonwin awepo).
Mimi nitagharamia uchakavu wangu tu na wa mtu mzima mmoja, wengine kila mtu afanya uchakavu wake na tupate ushauri na story za hapa na pale kuhusu maisha yanapoelekea.
Maana hii age inakaribia na mambo kama hayaendi vile.