Dalili za kukufanya ugundue umekaribia kuachwa ni zipi?

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Msaada wana Jamiiforums kufahamishwa dalili za awali zinazo ashiria sio muda mpenzi/mwanamke wako anakupiga chini sio muda mrefu kwa sababu sielewi elewi zisije kuwa ndo nazo ziona mimi ila nimefumbwa na upofu wa kupenda.
 
Sina utaalamu wa kuweka link ila kwenye huu huu uzi angalia chini utaona related topics utapata nyuzi zote zinazofanana na uzi wako na kusoma comment
 
maneno kama baby na hunie hutaitwa tena, utabaki kuyasikia redioni kwa divaloveness love lol!!!! kutoswa kubaya....
 
mawasiliano yanapungua,anakuwa na kiburi na ukali, majibu ya mkato mkato tu, mgegedo unakuwa unatolewa kwa ratiba au unatumia nguvu sana kuuomba na bado kuna kupewa au kunyimwa, ukimuudhi kidogo full gubu, anakuona kama mengineyo tu uwepo usiwepo sawa hapo thamani ishashuka tayari, ubize ambao haukuwahi kuwepo utatokea n.k n.k
vipi umekaribia kuachwa???
 
Mkuu kama machale yamekucheza wewe piga chini
Kibuti hakina baunsa bora kuacha kuliko kuachwa
 
Ulivyodadavua vizuri sasa
 
Hapo kwenye mgegedo kuomba kama unaomba kaz now dayz
 
mawasiliano yanapungua,anakuwa na kiburi na ukali, majibu ya mkato mkato tu, mgegedo unakuwa unatolewa kwa ratiba au unatumia nguvu sana kuuomba na bado kuna kupewa au kunyimwa, ukimuudhi kidogo full gubu, anakuona kama mengineyo tu uwepo usiwepo sawa hapo thamani ishashuka tayari, ubize ambao haukuwahi kuwepo utatokea n.k n.k
vipi umekaribia kuachwa???
Aiseeeeh, hizi experience.
 
Mkuu kama machale yamekucheza wewe piga chini
Kibuti hakina baunsa bora kuacha kuliko kuachwa

unajua mchumba bora angewahi kumtamkia kuwa hamtaki kabla mwenzie hajawahi maana akiwahi atakuja tena humu kuomba ushauri jinsi gani aweze kumrudia ili aanze kumtamkia yeye kuwa hamtaki....!!!
ila sikufundishi usije kunitamkia wewe leo bure subiri subiri kidogo!!!!
 
Evelyn Salt kamaliza kila kitu mapenzi yakifikia stages hiziyanaleta stress kwenye kila nyanja
 
mawasiliano yanapungua,anakuwa na kiburi na ukali, majibu ya mkato mkato tu, mgegedo unakuwa unatolewa kwa ratiba au unatumia nguvu sana kuuomba na bado kuna kupewa au kunyimwa, ukimuudhi kidogo full gubu, anakuona kama mengineyo tu uwepo usiwepo sawa hapo thamani ishashuka tayari, ubize ambao haukuwahi kuwepo utatokea n.k n.k
vipi umekaribia kuachwa???

Umejibu vzr,tumejifunza wengi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom