Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamvi mimi imenitokea nilimposa mwanamke fulani anaishi huko kipunguni na mahari nikamlipia na pete nikamvalisha. Lakini akawa ni kicheche sana, anasoma CBE nilipo kuja kugundua akurudi tena...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Nimejaribu kufanya tathmini ya mabinti nimewahi kuishi/ninaoishi nao karibu, nimegundua wengi wao ni hawajitambui. Kama mtu huna uwezo wa kujitambua utamtambuaje mwenzako? Kama nilivyosema...
1 Reactions
124 Replies
12K Views
Mke wangu amepokea email kutoka kwa msichana asiyemfahamu ikisema hivi.. Naomba unisamehe kwasababu sitaki unijue mimi ni nani ndio mana nimefungua email hii mpya ila naomba msaada wa ushauri...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
The Pursuit Of Extramarital Happiness Will Smith explains the rules of his open marriage. Will and Jada Pinkett Smith, who have been married for 11 years, have permission to sleep with...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu nakuja na mada hii. Msinielewe vibaya, lakini kwa faida na ustawi wa jamii. Ngono: ni neno linalozungumzia kwa mapana mambo mengi sana yakiwemo kutazama picha za ngono...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wajameni, nina jamaa yangu tuliekutana katika shughuli za kikazi (kampuni anakofanyia kazi ni wateja wangu). Anaishi mbali kiasi na ninapoishi, kwa maana hiyo hatukutani mara kwa mara socially...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, mimi najiulizaga sana hili swali? watu mmeshakaa kwenye mahusiano ikatokea mkakorofishana kila mtu akaendelea na maisha yake. Je kuna umuhimu wa kuwasiliana tena? Kama...
0 Reactions
103 Replies
13K Views
Hello everybody. Eti jamani tuulizane na tujuzane yupi kati ya mwanamke na mwanaume anaetakiwa kumuandaa mwenzake kwa mapana zaidi kabla ya kufanya tendo la ndoa? na kwanini haswa? Maana mpaka...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Close
1 Reactions
3 Replies
985 Views
Kuna kifaa kipya kimetengenezwa South Africa kwa ajili ya wabakaji ni shida, ila nahisi wanawake wengine wanaweza kufanyia matumizi mabaya (Revenge to their men). Ukimuumiza kimapenzi anaweza...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia. Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Tujadiliane hii hoja kwa mapana na kisayansi zaidi. Mgomo gani utakua na athali kubwa zaidi kati ya wanaume na wanawake wakigoma kufanya tendo la ndoa Karibu kwa mjadala kila hoja iwe na sababu.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nina mchumba ambae niko nae kwa miaka 4 soon atakua mke maana hata mahari ilishalipwa bado ubwabwa 2 sasa inatakiwa 2kapime ngoma na sijawahi kupima tangu nizaliwe amenambia j3 asubuhi 2kapime...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna msichana nilimpenda sana tena sana tu. Nimekuwa na uhusiano nae wa karibu kwa takribani miezi 6 sasa. Lakini kabla ya kuwa nae nilikuwa na uhusiano nae sio wa kikaribu kwa muda yapata mwaka...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
KITI KINACHO PUNGUZA UPWEKE Kuna wakati kila mmoja maishani pengine huhitaji kupata 'hug' (kukumbatiwa) ili kujisikia sio mpweke. Sasa kampuni moja nchini Japan imetengeneza kiti maalum...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu. Mara nyingi wanandoa huambiwa au hushauriwa swala zima la UVUMILIVU huenda ikawa kabla ya kuingia kwenye ndoa au hata baada ya kuingia kwenye ndoa. Lakini nimeona kama watu hawa...
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari za jumapili wana Jamiiforums. Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine tuna mioyo ya udongo kwa sababu mnapofanya kazi...
4 Reactions
113 Replies
30K Views
Habari zenu Wanajamii Forum,hivi huu mtindo wa kinadada haka ka mtindo ka kuleta nyodo mkisimamishwa barabarani inakuwa vipi? Mfano mzuri kuna jamaa yangu alimsimamisha binti njiani kwa madhumuni...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Mada yangu leo imetokana na kuzidi kushamiri kwa hoja kwamba je, mwanamke akishaoelewa kuna umuhimu wa kuitwa kwa jina la ukoo wa mumewe?Mfano, awali mwanamke aliitwa Julieth Thomas Rupia...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Wivu na maumivu anayoyasikia mwanamke pale anapohisi au kugundua kuwa mpenzi wake wa kiume anatembea nje ya mahusiano yao uko katika kiwango cha hisia "emotional level" wakati maumivu anayoyapata...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom